Kwahio nikiamuru laptop yangu kwa kuiambia zima.. na ikazima ..laptop yangu inakuwa kiumbe hai?Yes, ni kiumbe hai ndiyo na ndiyo maana Yesu aliamuru upepo tulia ukatii. Kuna viumbe hai vingi tu sayansi bado imeshindwa kuvijua, mfano ardhi, maji, upepo n.k
1. Ardhi ni kiumbe hai ndiyo maana inakuwa, inaishi na inakufa.
2. Maji ni uhai, hatuwezi kusema hivyo alafu maji yenyewe yasiwe hai.
3. Upepo nishaelezea...
Huku mzee unadhihirisha ujinga uliokithiri.. Quran haijaakueleza chochote kile na imetabiri pia yatakayokuja zama hizi na hadi mwisho, hata haya maelezo yako ya kipuuzi pia Qur'an ilitabiri watakuja watu wa aina ya upuuzi wako ..Hata dini mkuu, zimeshindwa na kukosea katika maeneo mengi kushinda hata sayansi. Uzuri wa Sayansi ni kwamba ni kitu kinachokua na kubadilika Kila siku. Quran na Bible ndio zimefika mwisho, there is no new updates ",,[emoji38][emoji38][emoji38]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Huwezi kuiamuru kwa kusema ikatii, kwanza laptop ni man made upepo sio man made ni natural, umeumbwa kama ulivyoumbwa wewe.Kwahio nikiamuru laptop yangu kwa kuiambia zima.. na ikazima ..laptop yangu inakuwa kiumbe hai?
,[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji16]Nilitabiri mm kitambo kwamba itafika kipindi hawa Wakenya watazidiwa humu wataleft alafu tutabaki pekeetu tukipeana vitasa, sasa kazi imeanza rasmi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sawa. Lkn kazi ipoHuwezi kuiamuru kwa kusema ikatii, kwanza laptop ni man made upepo sio man made ni natural, umeumbwa kama ulivyoumbwa wewe.
Mungu alianzishwa na nani?Dini ilianzishwa na Mungu mwenyewe kupitia kwa wanadamu au viongozi wa kiroho ambao ni makuhani, mitume, na manabii.
Chanzo Cha Mungu ni nini?Mkuu. Chanzo chote cha maarifa ni Mungu.
Mungu anaumba watu wenye akili ili watatue matatizo ya wengine ila hao hao ndio wanakuja kuabudiwa.
In most cases ujamaa/Ukomunist una disadvantages nyingi sana Baadhi yake ni kamaSiyo kwa maeneo yote. Yapo yaliyokuwa mazuri na mengine yalikuwa siyo. Ila kwa upande wa kuzikomboa nchi nyingine zilizokuwa zinakandamizwa na wakoloni hapo nakuwa upande wa Ujamaa.
Yah miaka ya mbele huko watagundua viumbe hai vingi tu mana sayansi haijafika mwisho.Sawa. Lkn kazi ipo
Holy books?, books za wazungu na waarabu, ambao hao hao wanatuletea ushoga na tunaukataa. Walipotuletea vitabu vyao tukaviita "Holy books" Leo hii maagizo Yao ushoga kwanini pia tusiyaite "Holy directives?".Yah according to holy books upepo ni kiumbe hai, so lazima kitakuwa na rangi na shape pia.
Hapa mzee ndipo unapokuja kufeli big time.. ukiangalia mbingu (imasimama juu huko where no man/device in those scientific researches amewahi kufika), ukiangalia bahari, Ardhi na kifo kwa mtu mwenye akili timamu hizo ni dalili tosha za uwepo wa Mungu.. kisayasi Ili structure yoyote isimame ni lazima kuwe na nguzo, umeshawahi kuona nguzo zilizoshikilia mbingu.? Au umeshawahi kuona mbingu ikifanyiwa marekebisho..Tatizo la watu wenye kuamini dini lipo hapo, kutaka kulazimisha na kuaminisha Dunia kwamba "Mungu" ndio mwisho wa Kila kitu, hiyo ni Imani tu, kwa ambaye hana hiyo Imani asilazimishwe kuamini Hilo, Kila mtu awe huru kuamini nakufuata akili yake.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mkuu, kwani hujaisoma Historian ya mwanadamu na mifumo yake ya maisha hatua kwa hatua kuanzia "Zinjanthropus" hadi Leo?Mwanadamu yupi Mkuu?
Mwenzako ichoboy01 amesema uhai unatokana na kupuliziwa "roho", kwahiyo hivyo vyote ulivyovitaja pia vilipuliziwa" roho?".Yes, ni kiumbe hai ndiyo na ndiyo maana Yesu aliamuru upepo tulia ukatii. Kuna viumbe hai vingi tu sayansi bado imeshindwa kuvijua, mfano ardhi, maji, upepo n.k
1. Ardhi ni kiumbe hai ndiyo maana inakuwa, inaishi na inakufa.
2. Maji ni uhai, hatuwezi kusema hivyo alafu maji yenyewe yasiwe hai.
3. Upepo nishaelezea...
Wanaoharibu hii dunia ni wamarekani na ilishatabiriwa, pia ikikupendeza naomba unitajie ni taifa gani hilo la wazungu lililoanzisha hizo holy books. Na mbona hawajajipendelea kuweka manabii wao wa kizungu.Holy books?, books za wazungu na waarabu, ambao hao hao wanatuletea ushoga na tunaukataa. Walipotuletea vitabu vyao tukaviita "Holy books" Leo hii maagizo Yao ushoga kwanini pia tusiyaite "Holy directives?".
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mungu aliumba viumbe kwa dizaini tofauti tofauti, kuna walioumbwa kwa udongo, kuna walioumbwa kwa moto, kila kiumbe kimeumbwa kwa style yake.Mwenzako ichoboy01 amesema uhai unatokana na kupuliziwa "roho", kwahiyo hivyo vyote ulivyovitaja pia vilipuliziwa" roho?".
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kwamba binadamu alikuwa sokwe? Haya na huyo sokwe mbn hakuwa binadamu mpaka leo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu, kwani hujaisoma Historian ya mwanadamu na mifumo yake ya maisha hatua kwa hatua kuanzia "Zinjanthropus" hadi Leo?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mkuu ngoja nikueleweshe 😅Yah miaka ya mbele huko watagundua viumbe hai vingi tu mana sayansi haijafika mwisho.
Holy books kwa maana ya Biblia, walioindika ni kina "Luka, Mathayo, Peter, Wakoritho na wengineo, hao sio wazungu?. Chimbuko la Biblia ni wapi Kama sio watu weupe, hapa Afrika zilifanya kuletwa tu.Wanaoharibu hii dunia ni wamarekani na ilishatabiriwa, pia ikikupendeza naomba unitajie ni taifa gani hilo la wazungu lililoanzisha hizo holy books. Na mbona hawajajipendelea kuweka manabii wao wa kizungu.
Kwahiyo wewe una amini kwamba upepo na maji ni viumbe hai?Mungu aliumba viumbe kwa dizaini tofauti tofauti, kuna walioumbwa kwa udongo, kuna walioumbwa kwa moto, kila kiumbe kimeumbwa kwa style yake.
We jamaa usome Bro, otherwise usituletee story yoyote hapa whether umetuelezea vizur or not, kama utakataa kuhusiana na holy books, kwasababu hizo history books zote zimeandikwa na watu weupe..Holy books?, books za wazungu na waarabu, ambao hao hao wanatuletea ushoga na tunaukataa. Walipotuletea vitabu vyao tukaviita "Holy books" Leo hii maagizo Yao ushoga kwanini pia tusiyaite "Holy directives?".
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app