Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndinda aka Kilingoland[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Shikamoo kwa wakubwa wangu na marahabaa kwa wadogo wangu ,natumai mwaendelea vyema nimekuwa off kiasi ila kwa wale walionimiss kama kadonda11 ,and the group am now back ,and its business as usual. Otherwise have lovely night guys.
 
[emoji28][emoji28][emoji28]bro mbona mikwara mingi...
 
Top 8 Countries with the Highest Paying Jobs in Africa
1: Zambia
2: South Africa
3: Namibia
4: Mauritius
5: Tanzania
6: Ghana
7: Morroco
8: Libya

Where is Kenya[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Shikamoo kwa wakubwa wangu na marahabaa kwa wadogo wangu ,natumai mwaendelea vyema nimekuwa off kiasi ila kwa wale walionimiss kama kadonda11 ,and the group am now back ,and its business as usual. Otherwise have lovely night guys.
karibu sana ndg injinia....vp harakati za kisiasa kenya,zinaendaje?.
 
ingekuwa wakati wa utawala wa kikwete, wakenya wengi ma-jobless wangezidi kumiminika tanzania kutafuta ajira wakifoji uraia na kujifanya watanzania kisa tu wote tunazungumza lugha moja ya kiswahili na pia eti wanajua ku-communicate kwa kingereza.[emoji23]

ila kwa utawala huu wa chuma JPM watabaki tu kukodoa macho...idara ya uhamiaji imedhibitiwa kisawasawa.

ajira za tanzania ni kwa watanzania kwanza,wakenya wajaribu mwaka 2030.[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…