Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

RWANDA AND UGANDA ARE GOING WITH THE KENYA SGR
 
Hata mm napinga kwa nguvu zote huu ujinga.
 
What else.? 🤷. Magufuli bus terminushata tulivyozindua huu mradi, Wana waliupost siku kadhaa halafu wakakausha kama hakijatokea kitu vile.. mwaiofhawaii pitia ujifunze bongo wewe.. bongo ni unyama sana, stendi ya daladala kubwa Iko pembeni ya stendi kubwa ya Mabasi .. transportation system ya Bongo ipo very organized ..
 
Huwa nashaa sana hawa kima wa north wakiita Tz state house ati ni mosque .. this is UAE residential palace ni Arabi architectural design.wote tunajua hivyo 👇hii nayo mtaita ni mosque pia .? Mana kwa uelewa wangu mimi nchi zote zenye zilipata civilization miaka ya kale huwa wako na architectural design unique zao.. ambapo ukiona tu jengo fulani unajua hii ni German design, American design, or British architectural design mfano hii English thams town in Shanghai.. 👇 👇 . .. kwa nini sis tukipenda kujenga designs za kiarabu hawa kondoo wanabeza ATI ni misikiti.? Au ni ignorance inawasumbua.? Au ni mentally za kipuuzi kwamba lazima kitu kiwe kama cha kizungu ndio kionekane kwamba ni kizuri.? Mashashola nairobae Nicxie. mwaiofhawaii. Njoeni mnipe majibu nyie vima
 
Sera ya Marekani ni kuchimba kidogo kwake na kununu mafuta mengi nje, hao waliopinga kuharibu mazingira ilikuwa kupinga aina ya uchimbaji unaoitwa fracking (look it up). Husikii wakisema "drill baby drill" kwa sababu Hydraulic Fracturing (fracking) ni ghali sana, bei ya sasa ya mafuta hailipi.

Hizo sera za Egypt wao kuwa na haki ya kutumia mto nile ni sera za kikoloni ambazo ziliwekwa na Uingereza. Kila mtu anahaki ya kutumia maji ya mto huo kwakwe, hata sisi tulikuwa eti tunakatazwa kutumia maji ya ziwa victoria, haya ni mambo ya kijinga.

Tuuache huu mjadala, tukubali kutokukubaliana.
 
Hata maraisi sioni sababu ya wao kupewa nyumba ni matumizi mabaya ya fedha za umma pensheni zinawatosha, sasa mtu kama kikwete na mwinyi wanashida gani mpaka wajengewe nyumba huu utaratibu aliounzisha jpm hapa kidogo alifeli
Aliyeanzisha siyo JPM, yeye alitekeleza tuu, mwanzishi ni Mkapa, hii ni baada ya Mwalimu kufariki bila ya kuwa na "jumba la hadhi yake".

Miaka ya tisini jeshi walimtembelea Mwalimu Nyumbani kwake na kumwambia, Mwalimu tunaomba tukujengee nyumba kubwa...". Mwalimu akawaambia, "mnataka kunijengea nyumba kubwa kwani mimi tembo?" Jeshi ndipo walipomjengea ile nyumba ya mawe Butiama.

Sasa Mkapa akaweka sheria ya kuwajengea nyumba za hadhi ya urais, marais wastaafu, ili isije tokea kama kwa Mwalimu. Kikwete na Mkapa hawakutekeleza hiyo sheria. JPM alikuja kutekeleza mipango yote iliyokuwa kwenye makabrasha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…