Fundi kitasa
JF-Expert Member
- Mar 17, 2021
- 2,626
- 7,180
Tunazidi kusonga mbele
Na wewe asanteh kwa kuiangalia hiyo NTV yako kwenye king'amuzi cha Azam huko huko kwenye nyumba yako ya mabati hapo mathare!Asante kwa kuwa mtazamaji mkubwa wa ntv kenya. Natumai kampuni ya Nation media inakudhamini
Hizi usipost humu njia za chini ya kiwangoOperesheni ondoa vumbi mitaani
View attachment 2629903View attachment 2629904View attachment 2629905View attachment 2629907
You're comparing apples with mangoes, the USA one was not an invasion. Know the difference
🇹🇿 Total public debt $30B (2022)
🇰🇪 Total public debt $68B (2023)
Tuwe makini tusijekufanana na shakahola
Hii pesa yote wamepeleka wapi?, Watuonyeshe mradi mmoja tu uliogharimu zaidi ya $3B nje ya SGR ushuziTotal public debt $32B (2023)
Total public debt $68B (2023)
Tuwe makini tusijekufanana na shakahola
Tukimaliza miradi yote mikubwa hasa ya umeme, sgr, barabara, kilimo, dodoma tukiwa bado hatujavuka $45B tutakua tumefaulu sanaKazi ya mwigulu huyo anwaambia watanzania kama huwez kulipa tozo basi ubamie burundi katika wizara mama aliofeli basi yakwanza ni wizara ya fedha ikifatiwa na nishati alaf mawasiliano
Aisee mimi huwa nipo puzzled nikianza kuhesabu mihela yote hiyo na kanchi kao kalivyokua developed only southern, ukiangalia eneo lenye barabara nzuri, umeme, maji, hospital ni only 30% (labda size ya Rwanda) of the entire Kunyaland, sasa hizi pesa zote walipozipeleka ni wapi kwengine, isiolo, marsabit, mandera, turkana, moyale, lamu, lodwa, pokot, samburu, baringo, wajir hii yote ni zaidi ya 50% na pote huku hakuna tofauti na kuzimuHii pesa yote wamepeleka wapi?, Watuonyeshe mradi mmoja tu uliogharimu zaidi ya $3B nje ya SGR ushuzi
So you can’t respond to my question and so like a sole loser you are, you turn to childish games….. Truth shall set you free kilaza!….🤣🤣🤣🤣Can't add up to a person who eats jaluo meat, but otherwise they are OK
Hahaha, hahahaha.