Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nina mashaka na utimamu wako wewe
 
Kwani wewe na elimu yako yote ya huko yues hujui kama Dar ni kubwa kuliko Nairobi!? Ukiambiwa wewe ni muosha vyombo tu huko unakataa, ona sasa!
 
Kwani wewe na elimu yako yote ya huko yues hujui kama Dar ni kubwa kuliko Nairobi!? Ukiambiwa wewe ni muosha vyombo tu huko unakataa, ona sasa!
Wewe ndio hauna Elimu… Wapi nimésema Nairobi is bigger than Dar?… Dar the one you like to show ni kasehemu kadogo sana compared to Nairobi…. Lakini once you add the rest 80% ya Dar which is Uswaziland, then of course Dar ni Kubwa zaidi. …🤣🤣🤣🤣
 
😂😂😂😂 Unaweza potea, Talking about phase 3 hili eneo hapa azam linahitaji artist mmoja wa kipekee, limekaa kimkakati sana na ni moja ya city's vibration iliokosekana Dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…