Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,887
- 103,753
Hivi manispaa za Mwanza zimeshindwa kujenga pavement hapo nje?
Mbona Serengeti au Kilimanjaro lounges hamna?Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa uzinduzi wa Ikulu mpya ya Chamwino Dodoma leo amesema baada ya kukamilika kwa Ikulu sasa wanatarajia kujenga jengo la kisasa (Samia Complex) ndani ya eneo hilo kubwa la Ikulu lenye Ekari 8473 na tayari michoro ipo tayari ambapo kwa sasa wanahangaika kutafuta fedha ili ujenzi uanze.
Rais Dkt. Samia amesema “Eneo hili bado kuna kazi ya kufanya na hatua inayofuata ni ujenzi wa jengo la kisasa ambalo Wasaidizi wangu wameliita Samia Complex ambalo litakuwa na ukumbi wa mikutano wa Watu Elfu mbili mpaka Elfu tatu, nyumba za Viongozi hasa Majirani zetu wa EAC na SADC kutakuwa na Zanzibar Lounge, East Africa Lounge, uwanja wa golf, viwanja vya michezo, njia za ndege na sehemu za historia za Viongozi wa Nchi zetu”
#MillardAyoUPDATESView attachment 2629683
Hata hiyo kwamba wanatumia mbolea nyingi ni uongo mtupu, Kenya Kila kitu wanadanganya Ili waibe pesaNa bado wana njaa sio?
Unadhani hajui?, Wakenya ukishawakamata kende zao, lazima wachanganyikiwe.Wacha upumbavu wewe, mchezo mkubwa duniani ni football tu , na ndio mchezo unasaidia ukuaji wa chumi za mataifa mengi all around the world, michezo mingine ni ziada tu
Ingefaa pia kuwe na Lounge za Majina ya Marais WastaafuMbona Serengeti na Kilimanjaro lounges hamna?
Ila linakaa vizuri kuliko 98% ya DarHili slum la Dandora linatakiwa lipigwe bom na bandits muanze upya
View attachment 2628993
Uzuri nchi zinajua football ziko sawa michezo zingine kubwa pia.Wacha upumbavu wewe, mchezo mkubwa duniani ni football tu , na ndio mchezo unasaidia ukuaji wa chumi za mataifa mengi all around the world, michezo mingine ni ziada tu
Kunyans you are alone nowdays
Hio ni special operation sio vita jua kutofautisha 🤣🤣🤣 wanaochochea vita ni europe na bwana wao lakini russia yeye anafanya special operation ya kijeshi tu na kuondosha zile bio lab zao zilizosimikwa kwenye ardhi ya USSRNa walikuwa wanajiita superpower Russia.
Nchi ya upuzi wamelemewa na nchi maskini Eastern Europe Ukraine.
Hivi manispaa za Mwanza zimeshindwa kujenga pavement hapo nje?
Hilo ndio jambo linaloshangaza kwa Uganda, wanataka kujenga SGR kwenda Malaba wakati Kenya imeshindwa kufikisha reli Yao Malaba.kivipi? wakati Yapi Merkezi wanajenga reli kwenda Malaba!