joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Sijakupata, unamaanisha nini mkuu?Nop!
The indisputable fact is, you do not have access to sensitive information, so it is extremely difficult for you to tell apart chaff from the grain.
Mwendazake alikuwa mtu wa parochial politics hakuwa na vision hata kidogo bali siasa za ukabila, chuki, kinyongo na kisasi! Pata picha Mkapa angekuwa na Roho ya Magufuli Kikwete asingekuwa Rais. Mkapa was very matured n had humility, he made sure Kikwete is a minister during his Presidency!Mkuu, Kama ni kweli hayo aliyosema Membe, halikuwa sawa hata kidogo. Hivi hata ungekua wewe umefanyiwa hivyo, ungejisikiaje?.Hicho ni miongoni mwa vyeo vikubwa Sana duniani.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Katika upande huo wa personality hakuna ubishi kwamba alikua tabia yake ni "macho". Very authoritative and sometime humiliative and undeplomatic.Mwendazake alikuwa mtu wa parochial politics hakuwa na vision hata kidogo bali siasa za ukabila, chuki, kinyongo na kisasi! Pata picha Mkapa angekuwa na Roho ya Magufuli Kikwete asingekuwa Rais. Mkapa was very matured n had humility, he made sure Kikwete is a minister during his Presidency!
Mwendazake alikuwa mtu wa parochial politics hakuwa na vision hata kidogo bali siasa za ukabila, chuki, kinyongo na kisasi! Pata picha Mkapa angekuwa na Roho ya Magufuli Kikwete asingekuwa Rais. Mkapa was very matured n had humility, he made sure Kikwete is a minister during his Presidency!
Mkuu, nilijibu baada ya kusoma hizo tweets za mazungumza ya Bernard Membe na mwandishi wa habari, ndio sababu nikasema "Kama hayo aliyosema Membe ni kweli", basi Magufuli alikosea.Hapana!
Ukweli usiopingika ni kwamba, huna vyanzo vya kupata taarifa nyeti, kwa hivyo ni vigumu sana kwako kutenganisha makapi na nafaka.
View attachment 2620648
You will be shocked. Just do a simple Google search. Industries in Eldoret....
lakini tukubali ukweli kwamba alikua na mapungufu makubwa Sana katika demokrasia na diplomasia.
Ni katika kipindi chake ambapo Tanzania ilishuka Sana katika "rank ya demokrasia duniani", tumeshuhudia katiba ikifinyangwa sana, watu wengi Sana wamepotea katika kipindi chake bila maelezo.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app