nataka kuandika/kuongea jambo muhimu sana kuhusu ushiriki wa wakenya kwenye hii battle.
katika tasnia ya ujasusi kuna watu huitwa "asset".
asset ni mtu yoyote kwa kujua au kutokujua,anakupatia taarifa za kijasusi au kukusaidia kusambaza propaganda yenye agenda fulani kwa faida fulani kwa upande husika.
wakenya ni good asset katika hilo,kwanini?,kwanza wana kiherehere pili ni wajuaji sana.
kutokana na kiherehere chao na ujuaji wao,ni rahisi sana kuwatumia wakenya kwenye social media kusambaza agenda fulani bila wao kujua.
kwa EA,ni nahisi sana kuwatumia wakenya kuliko waganda ama wanyarwanda.
nimesikia wakenya wakidai kwamba eti sasa hivi hawatashiriki kwenye thread,mimi nasema mtashiriki tu iwe isiwe.tutatumia kila aina ya fitna na mbinu kuhakikisha kwamba mnashiriki kuendelea na hii battle.
you are our asset,we have been using you in our secret economic agendas and propaganda...and we will continue to use you each and everyday.
katika kipindi hiki ambacho tanzania ipo katika vita ya kiuchumi,hatuwezi tukakubari thread kama hii yenye takribani views 900+ k ikose wakenya ndani yake... mtashiriki nasi kutusaidia kufika pale tunapotaka.lazima tuwatumie.
thread hii inafatiliwa na watu wengi mno kuliko thread yoyote kwenye section ya kenyaforum.... nina hakika hata maafisa wenu wa serikali hapo nairobi watakuwa wanaifuatilia kwa jicho kali sana.
hamna ubavu wa kuikimbia battle.mtatoweka kwa mda wa lisaa au siku lakini lazima mtarejea kwenye thread ili tuendelee kuwatumia.
sisi wengine tupo hapa kimkakati zaidi...chezeya tz ya 2017 chini ya JPM nyinyi.