joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,625
Youβre such an insufferable human being.Alaf akothe yuko ulaya anagawa nyapu kama mafungu ya nyanyaπππ
Looking great! They need to plant more trees.Oyaa wazee
Kweli umri wa onyango usishukiwe, bdo mdogo sanaπTunakwenda kuinua michezo Kenya, kuanzia soka mpk ndondi, ila kiukweli hawa wachezaji wamechoka kweli kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2614840
Wachezaji wenyewe wamekaa kibangi bangi tupuπ€£π€£Tunakwenda kuinua michezo Kenya, kuanzia soka mpk ndondi, ila kiukweli hawa wachezaji wamechoka kweli kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2614840
Hata treni za Gorofa ziko Dar tuu Africa nzima hakuna sembuse kanairo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nairobi haiwezi ku level with Dar kwa sababu Dar ina world class infrastructures mfano cable stayed bridges (siyo moja yapo mawili), BRT system, cable stayed SGR viaduct, ongoing underground electrified SGR, etc... Nairobi hakuna hata kimoja kati ya hivyo nilivyotaja, sasa unawezaje kulinganisha hiyo miji miwili? Nairobi size yake Dodoma ambapo hiyo Dodoma ikikamilika hata Dar haitogusa.
Walisema CBD sehemu hii ina njia mbovu natumai kwa clip hii message sent and delivered [emoji16]Tutazidi kuwakumbusha wale Watopestan ( Wakundustan) kuhusu mabadiliko ya hili eneo kama tulivyowajulisha toka mwanzo [emoji23]
Azam TV watatuonyesha mpaka chumbani kwao. Utasikia top scorer wa KPL au MVP akipewa carton ya maziwa ya brookside au kamfuko ka unga wa ugali [emoji16][emoji16][emoji16]Hawa tumewakamata Kila idara, Tanzania is a real giant of EA.
Mbona kama mahawkers? ππππTunakwenda kuinua michezo Kenya, kuanzia soka mpk ndondi, ila kiukweli hawa wachezaji wamechoka kweli kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2614840
Bado Dar ina more trees in the CBD than Nairobi na CBD yetu ipo decongested kuliko overpopulated Nairobi CBDLooking great! They need to plant more trees.
On the contrary, βcongestedβ au Kwa kutumia correct terms, High Density, ni kitu kizuri kwenye miji. CBD ya Dar ina high density pia. Kinachokosekana ni miti ya kutosha kwenye hizo sidewalks zinanazojengwa sambamba na BRT.Bado Dar ina more trees in the CBD than Nairobi na CBD yetu ipo decongested kuliko overpopulated Nairobi CBD
Wakenya ndivyo walivyo wanaanza kuwa wazee tangu vijana, nafikiri ni kwasababu ya lishe duni.Kweli umri wa onyango usishukiwe, bdo mdogo sana[emoji28]
Naomba NDINDA aweke picha za ulinganifu before and after [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Walisema CBD sehemu hii ina njia mbovu natumai kwa clip hii message sent and delivered [emoji16]
Ikiwa bingwa wa ligi anapewa milioni 20 unategemea nini, washukuru Mungu Azam kaenda kuwakomboa angalau kdg dau litapanda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Azam TV watatuonyesha mpaka chumbani kwao. Utasikia top scorer wa KPL au MVP akipewa carton ya maziwa ya brookside au kamfuko ka unga wa ugali [emoji16][emoji16][emoji16]
Hivi wakenya wanamradi wowote wenye walau nusu ya thamani ya mradi JNHPP
Sawa bibi harusi umerudi tena leo naona umeamka na mm πππYouβre such an insufferable human being.
Sijui kama unafanya utaniπ .. lkn huyu ni Tiwa Savage, mnigeria. Afu napendaga body yake π
Naona upperhill na westland + kilimani ndani au unabisha πππππ
Ligi ya tanzania anaonesha azamIkiwa bingwa wa ligi anapewa milioni 20 unategemea nini, washukuru Mungu Azam kaenda kuwakomboa angalau kdg dau litapanda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]