Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,856
- 22,191
Lazima watakuwa wa "mdosi" mmoja hapo Nai.Huwa sifahamu ngombe hawa Nairobi hutoka wapi!? Ni wa nani hawa ngombe kweli!?
View attachment 2613907
Wakenya huwa mnatabia ya kunyamazia madudu yanayofanywa na wenzenu. Hiyo "mwenzenu" iwe ni kabila au mdosi, mtakaa kimya. Mmeshindwa kuwa na usafiri wa umma wa kistaarabu kwasababu viongozi "wenyu" wanawaonea haya cartel wa matatu.
