Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umesema kitu cha maana sana, nimekuwa na mijadala na jamaa zangu kadhaa juu ya hii battle, wabongo wengi walikuwa na hii kasumba, aisee sasa ukianza kuwaambia ukweli wa mambo ulivyo wanabaki midomo wazi, kupitia huu uzi Wabongo wengi sana ‘tumeokoka’ na ulimbukeni wa kudhani nchi yetu iko nyuma sana, wengi sasa tunatembea kifua mbele kama tumepigwa ngumi ya mgongo😂😂😂
 
Hizi ni uwanja ama jokes!!
Unanyeshewa,jua pia ,Tena running track ni vumbi!!!
Kumbe huwa mnajisifu hapa na mko na Mkapa pekee !!!!
 
Nairobi jacaranda bloom. Who can't fall in love with this? View attachment 2610162
Umeshindwa kupata data za export ya manufactured goods zenu Sasa umeamua kuanza kuokoteza picha za nchi za watu Ili kuziba pengo la "gap" kati ya Kenya na Tanzania sio?.

Yaani bila kudanganya kwa kutumia picha za nchi zilizoendelea huwezi Kenya haiwezi shindana na Tanzania?.

Endelea kuzunguka lakini bado ninasubiri data za "Manufactured goods exported 2022.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Wewe bongolala your level of desperation is out of this world. I already gave you 2021 data which already shows we are miles ahead of you sasa scapegoat yako ni kutaka data ya 2022. What's so special about 2022 data bongolala? If we were ahead of you in 2021 despite Covid lockdowns ( while your country's economy was running coz there were no Covid restrictions) and everything, what makes you think you could be ahead of us in 2022 when our economy was already oppening up after Covid lockdown?

Narudia tena, it's stupid to even start imagining that Tanzania is more industrialized than Kenya. Wake up from that stupid dream before you wet your pants!
 
Toa ujinga hapa bongolala. That was during installation before maua yapandwe. Ama unafikiri zingehanga kwenye hizo pillars kama popo bila support?
Maua yapo na zinaendelea kuwepo
 
Mbwa wewe umedakwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2610366
Namba za gari zenu mmefika lini XZD!
Maisha yenu ni full uongo uongo pumbav.

View attachment 2610362
Mm kila siku nawaambia hua munaona kama nawaonea vile kwenye maneno 100 ya mkenya yoyote duniani chukua moja na hilo moja uende ukalitafakari vzr na ukiondoka usigeuke nyuma hata sekunde 😆😆😆😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…