Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania ipo juu ya Kenya kwa lipi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajichekesha au sio, huwa nakuumiza nikikwambia unitajie infrastructure ambayo ipo huko kwenye shit hole yenu na haipo Tz unakimbia. Kwa sasa sina haja tena ya kuendelea kubishana kuhusu hilo tushafunga mjadala kilichobaki ni kupeleka siku ziende kwa afya ya uzi but no comparison at all btn Tz and Kenya.
 
It's hard not to fall in love with this city. Nairobea View attachment 2610085
Maua mliyatoa? nyie watu ni wapumbavu sn na washamba wa mwisho, huwa mnapenda decorations lkn kuzitunza hamuwezi kutokana na ukweli kwamba nyie hamko civilized [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Weka link Kama hii https://www.ippmedia.com/en/bu...orts-record-strong-growth-2022, Wacha ujinga wako wa kupiga kelele, ukiweka link yenye kuonyesha export za manufactured goods (Sio total Exports), tafadhali weka data za "only export of manufactured goods za 2022, tuone. Kumbuka kwamba your manufacturing sector grew by negative - 2.7 last year, hakuna kitu mlipeleka nje ya nchi, Kama unabishe weka tuone. Failed state ninyi hamuwezi shindana na Tanzania.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Sasa mbona unalia? Umeambiwa ulete data unatoa povu, Tz ina export zaidi yenu but nyie mnatuzidi kwenye importation, hilo sipingi. Kuhusu umeme hamtokaa mtukaribie kwasababu sisi tuna vyanzo vingi vya umeme, ukijumlisha unapata namba kubwa kuliko yenu, na hapo bado kuna jnhpp soon inakuja ambapo tutaanza kuwauzia umeme mtake msitake.
 
Don't always believe in people's opinions.
 
Eti mlijenga miaka ya 70s? Na kwamba ziko kila manispaa? Nionyeshe with proof hizo viwanja mlipojenga manispaa ya Songea, Shinyanga, Iringa, Singida, Bukoba, Mtwara na Tarime,

Hizo manispaa zote umetaja zina stadia since 70s, and nowadays individual teams are building their own stadia.. you can mention whatever municipal you know

Pics
1. Iringa stadium /Samora Machel stadium ( uwanja wa Lipuli FC)


2. Singida Namfua Stafium , used by Singida big star fc. Hakuna team Kunyaland inaweza fikia levels za Singida big star





3. Songea - Majimaji Stadium (used by Majimaji FC)


4. Sinyanga - Kambarage Stadium


5. Kagera - Kaitaba Stadium , Used by Kagera Sugar


6. Mtwara - Nangwanda Sijaona


Tarime sio manispaa
 
Eti mlijenga miaka ya 70s? Na kwamba ziko kila manispaa? Nionyeshe with proof hizo viwanja mlipojenga manispaa ya Songea, Shinyanga, Iringa, Singida, Bukoba, Mtwara na Tarime,

Halafu mbona unachukulia Poa hizo manispaa mzee. Hiyo ni miji yenye hadhi na watu wanaishi maisha mazuri ,
Hawana njaa kama huko cundustan , angalia mazingira ya iringa kwa mfano

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…