ujinga na upuuzi...haibadilishi ukweli...Kenya ndio inaongoza ukanda huu...wengine mnafata...yaani mikia...
mnapenda sana kurudia rudia mambo...haya nenda page 1 ya uzi huu kisha ufatilie...majibu unayotaka utayapata....Prove mnaongoza Kwa Number of High-rises/ Skyscrapers Kama ulivyosema in East and Central Africa usituwekee renders na mashimo, Weka all completed High rises in Nairobi hapa tuone. 30+ Floor high-rises towers.
mnapenda sana kurudia rudia mambo...haya nenda page 1 ya uzi huu kisha ufatilie...majibu unayotaka utayapata....
Povu.ujinga na upuuzi...haibadilishi ukweli...Kenya ndio inaongoza ukanda huu...wengine mnafata...yaani mikia...EAC economic giant Kenya
hiyo kauli nimeanza kuwasikia wakenya tangu 2008....wewe sio mkenya wa kwanza.[emoji23]Pwahahaha. .......Daresalaam guys take it from me.mko nyuma sana bado.......that's why I just laugh at you guys
Nyuma ya nyumba???weka hapa ushahidi ktk picha.sio porojo.Pwahahaha. .......Daresalaam guys take it from me.mko nyuma sana bado.......that's why I just laugh at you guys
70b ya expectationsππππππyaani uchumi wa Kenya ni uchumi wa Tanzania plus Uganda combined...lol!! these niggas thoughππππππ we aint in the same level
UG GDP=25B
Tz GDP=47B
Kenya=70B
Sisi ndo Babayao...nawapa wimbo kwa ajili ya hayo
Akikuonesha sehem hzo renders za pinnacle na montave wapi zinajengwa unitag plzπππLol wakati Juzi tumewafumbua macho, yaani hata baada ya kumaliza Kuchimba mafuta hapo Pinnacle 1&2, Montave 1& 2 Bado mtakua mnatembelea kichhwa Kwa Dar interms of Highrises , eti mmefanya Miaka mitano iliyopita, what a shame , Hata hizo Flyover zingine Bado hamjamalizia landscaping na Tayari sisi Kurasini interchange done na Tazara 70% done , Ubungo Interchange taking shape . Yaani sasa hivi mmebaki na mapishi ya GDP tu. Ambayo huwa inajibu kila swali na kila battle. Hata kitu kinahusu nzi jibu lake litakua GDP ya Kenya bilioni sabini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Sasa unajiabisha mmetupita Miaka mitano ya maendeleo?
What a shame for a capitalist , Business minded nation , Bado linapumulishwa na Machine na Nchi mnayoicheka kila siku Kwa sababu hamjui lolote kuhusu Tanzania.
Akikuonesha wapi wanajenga pinacle na montave nitag plz broππππClearly you can not prove and umeongea uongo eti mpo mbele hata Kwa skyscrapers. How do you expect someone to trust you while you canβt prove? Reason you guys are using too much energy to say you are ahead in everything. Everybody else canβt see and no one believe you.
Unafikiri Msouth alkisema yupo juu tutambishia? Kwa sababu wapo juu kweli.
Hivyo Basi mnatembelea kichwa Kwa Dar interms of Highrises . Tena hata mkimaliza Pinnacle 1&2, Montave 1&2, Avic 1,2 and 3 Bado mtakua mnatembelea kichwa . Yaani idadi haitafikia ile ya Dar. Sasa nani bwana mkubwa hapo. Tena ni aibu sana.
Teh teh .
Keep the laugh as we built and hide your head deeper in the sand.Akikuonesha wapi wanajenga pinacle na montave nitag plz broππππ
wapi munajenga au munajenga hewaniππππππππ....i love rendersKeep the laugh as we built and hide your head deeper in the sand.