Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna mtz atakuja kuwa ombaomba Kenya, hakuna na haitoweza kutokea, hao ni Wakenya wenzenu, sisi huku hilo suala la ombaomba tulishalikomesha mda mrefu, wamebaki ombaomba wachache sana. Kingine ni kwamba kama wangekuwa ni Watz mngeshawarudisha kitambo kutokana na chuki mlizonazo dhidi ya watanzania plus roho mbaya mlizonazo Wakenya.
 

Hahah, 3.6m gross kwa senior super specialist is still a joke na ni dharau mkuu. Nina exposure kidogo ya hii mishahara.. kuna watu wanakula 15m take home nchi hii na wana kadigrii kamoja tena ka miaka mitatu[emoji3][emoji3][emoji3]
Anyway Sawa mkuu , nakusihi haka kamjadala kaishie hapa kisha tujikite kwenye mada yetu pendwa, tusijenufaisha mafukara wa huko kaskazini. Kuna vile inavuotakiwa kuwa na ilivyo, Naelewa your positivity. I am so positive [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Ingia tiktok kaka kuna mbongo anajiita iddy amin leo kawatupia kitu wakenya wanataka kuanza kuwatafuta Watanzania waishio kenya wawalipizie 😃
Huishi Kenya lakini unapiga mdomo kama mama wa salon. Kipanya mumeuza ngapi?












Basi ni hzo tu hautaki kukubali kama ni white elephant project au?? 🤣🤣🤣 hii dunia ina maajabu wakat probox zimejaa over 90% ya gari zote kenya
 
Suala la 15m kwa degree moja.. wapi huko exactly, serikalin au? Sekta binafsi, MD wa kampuni ya umeme pale pemben ya ubungo flyover ana MBA anapokea 11m
 
Air Tanzania wasiingie huu mkenge si KQ wamesema wataungana na SAA?
Hawa jamaa ndivyo walivyo, wakiona unawazidi, wanakutafuta Ili kuomba ushirikiano, mbona viongozi wao wa bandari hawaji kuomba ushirikiano?, Kwasababu bado wanapokea mizigo mingi, hataki ushirikiano kwasababu wanadhani tutapunguza mizigo yao, ila KQ kwasababu inapata hasara, wanakuja Ili tugawane hasara. Hawa sio watu wazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…