Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,710
Wait, Airport ipo songwe au ipo mbeya.?Hivi nyie ni Watanzania kweli? Mnaelewa mnachoongea lakini? Mna Google earth Kwa nini hamuangalii ramani?
Si ajabu mnajitutumua ila hakuna mnachokijua,toeni tongotongo hapa
Sijibu tena ishu ya Songwe mumezidi upumbavu,hizo video husikilizi Hadi unauliza swali nililolijibu mara kadhaa?Wait, Airport ipo songwe au ipo mbeya.?
Uliishi miaka gani wewe hater.Mbeya kwa Tanga bado sana, Mbeya nimeishi mwaka na kitu nilikuwa Assistant lecturer chuo X.
Kitu Mbeya imezidi Tanga ni idadi ya makanisa tu. [emoji23][emoji23][emoji23]
Oy ChoiceVariable Tanga ni habari nyingine mzee 3 km away from the City center [emoji116]View attachment 2592920.View attachment 2592921ijue Tanga
Sasa hapo Kuna nini Cha kufanya mtu afurahie?Oy ChoiceVariable Tanga ni habari nyingine mzee 3 km away from the City center 👇View attachment 2592920.View attachment 2592921ijue Tanga
Mkuu, kwa serikali Afya ni huduma ya msingi Kama chakula, maji, elimu, umeme na makazi, ukivifanya viwe ni ghali(commercial) vinasababisha kupanda kwa gharama za maisha.
Pole sana Mbeya vipo viwanda 3 vya Chai ,Back to the business. ChoiceVariable Tanga kuna kampuni kubwa mbili za chai 👇
11. Chai Amani 👇View attachment 2592838
12. East Usambara tea company LTD 👇"AgriProFocus" AgriProFocus.
Heb na wewe post vitu vya maana kama hiv bas
Bebu acheni huu ujinga! Hata aibu hamuoni!!
Non of them is known countrywide.. ni vi brand vya kiwaki 🤣🤣🤣Pole sana Mbeya vipo viwanda 3 vya Chai ,
Wakulima tea company
City Cofee,
Katumba Tea Company
Actually Tanga mjini pameendelea kuliko Mbeya kimiundombinuOy ChoiceVariable Tanga ni habari nyingine mzee 3 km away from the City center [emoji116]View attachment 2592920.View attachment 2592921ijue Tanga
Excuse as usual 😁😁😁Non of them is known countrywide.. ni vi brand vya kiwaki 🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 Vi wonder 1700+ 🤣🤣🤣🤣🤣Nimepata takwimu rasmi za idadi ya Viwanda na wewe niletee takwimu zote za Tanga .
Mbeya Ina Jumla ya viwanda 1,791.
Viwanda vikubwa -10,vya Kati 20 na vidogo 1,734
-Mbeya cement,
-Pepsi Company ltd,
-CocaCola Kwanza ,
-Mbeya Breweries ltd,
-Tol gases ltd,
-Kapunga Rice Mills,
-Wakulima Tea Company
-Katumba Tea Company
-City Cofee,
-Marmo E.Granito Mines(T) ltd
View attachment 2592936View attachment 2592938
Hakutokuja kuwa na BRT hii nchi View attachment 2592943
Leta idadi ya Viwanda Tanga kama huna funga domo,Toka Mwanzo ulikuwa unasema umeniagiza.🤣🤣🤣 Vi wonder 1700+ 🤣🤣🤣🤣🤣
City coffe-Mbeya. [emoji123]Nimepata takwimu rasmi za idadi ya Viwanda na wewe niletee takwimu zote za Tanga .
Mbeya Ina Jumla ya viwanda 1,791.
Viwanda vikubwa -10,vya Kati 20 na vidogo 1,734
-Mbeya cement,
-Pepsi Company ltd,
-CocaCola Kwanza ,
-Mbeya Breweries ltd,
-Tol gases ltd,
-Kapunga Rice Mills,
-Wakulima Tea Company
-Katumba Tea Company
-City Cofee,
-Marmo E.Granito Mines(T) ltd
View attachment 2592936View attachment 2592938