Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Most definitely, Tanga competition yake ni Arusha.. Mbeya haiwezani hata na Morogoro, nashindwa kuelewa ilikuaje ikapatiwa city status, ni aibu tupu
Mbeya bado sana kwa Tanga.
Tanga inachuana na (Mwana & Arusha).
Mumeanza uchokozi Kwa watu,mnataka kununua ugomvi..

Tanga size yake ni Kahama,Morogoro na Geita
 
Royal tour inaendelea kufanya mambo.

Naziona dalili za Watalii walau mil.3 japo target ni 5mln by 2025.

 
Toka Mjerumani awajengee hayo Magofu Bado kuko vile vile hambadiliki tuu nyie mamwinyi wa Tanga? Tuoneshe Kwa matajiri .View attachment 2591128

Kwenu Huwa hakuna hata uoto wa asili?
🀣🀣🀣 Bro .. achana na Tanga mzee .. Tanga ni league ya Chuga mzee . Hii hapa ni Raskazone mitaa ya washua πŸ‘‡.. Tanga Iko mpaka na yatch club.... Raskazone and Bombo area. picha za google earth πŸ‘‡Bombo areaRaskazoneπŸ‘‡masaki flani hiv
 
Mimi nakupa video tuu utazame mwenyewe..

Mbeya Mwanjelwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…