Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa mbona unasema ni ya mtu wa Mbeya!!! Huku office za New Force usajili wake upo Dar?
Wapi nimesema ni ya mtu wa Mbeya? Punguza kukurupuka..
Sie tulikuwa na mada ya Mabasi ya Dar Mbeya na Dar Tanga bila kujalisha yanamilikiwa na wenyeji au Wageni kwamba Mji gani una Mabasi mengi.
 
Mbeya ni kijiji tu mbele ya Tanga.. kaa kwa kutulia
 
Wapi nimesema ni ya mtu wa Mbeya? Punguza kukurupuka..
Sie tulikuwa na mada ya Mabasi ya Dar Mbeya na Dar Tanga bila kujalisha yanamilikiwa na wenyeji au Wageni kwamba Mji gani una Mabasi mengi.
Hapana ndugu yangu hii mada niliifuatilia Tangu juzi.
Mwenzako alileta mabasi asili yake ni Tanga.
Ndio maana alikuambia Mabasi hayo huko mbeya yanapita tu.

Basi ukisema hivyo Morogoro itakuwa na mabasi mengi sana.
 
Mwambie alete hata ya asili ya America hayawezi kuzidi ya Mbeya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…