President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,634
- 94,249
Ego inakusumbua mzee. Hebu tuambie huyo mwekezaji wa New Force anaitwa nani?Yule mbishi wa Tanga Yuko wapi? Hii imfikie mwambie kabisa hizi chuma za Mwekezaji ni Mbeya Moja.
Newforce ni ya mchina na sie huku tunamuita au kumtambua kama mwekezajiEgo inakusumbua mzee. Hebu tuambie huyo mwekezaji wa New Force anaitwa nani?
not enoughKarura Urban Forest
Picha kali sananot enough View attachment 2590907
Nimeshindwa kuamini kwamba kumbe hawa wenzetu viwanja vyao havina huwezo wa kuhudumia ndege kubwa kubwa, vinaitwa tu international sababu ya sifa ila havina sifa. Imagine hadi KQ kashindwa kutua kwao kaenda kutua kwa jirani. Alafu wajanja wamechagua Entebe badala ya KIA karibu, sijui walijua tungewananga?😅😅😅🤣🤣🤣🤣👏👏👏👏
Sasa mbona unasema ni ya mtu wa Mbeya!!! Huku office za New Force usajili wake upo Dar?Newforce ni ya mchina na sie huku tunamuita au kumtambua kama mwekezaji
huyo choice variable atakupinga we subiri ......Magufuli effect [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Elon Musk watamruhusu kweli?!Tuendelee tusiendelee?
Mimi nilisema halafu watu wakanipigia kelele.Elon Musk watamruhusu kweli?!
Kwa hali hii sidhani kama watamkubalia, zaidi watampa vihunzi vya kuruka kama Rostam alivyokuwa anafanyiwa na Kenya miaka ya nyuma.Mimi nilisema halafu watu wakanipigia kelele.
It was inevitable not to pay it; it was how do we pay it, either by agreeing to be exploited over $3B or paying $100 as a penalty for breaching the contract.Alikuwa chanzo cha kutofuata taratibu ziwe za manunuzi au upembuzi yakinifu! Tabia ile huleta mwanya wa wizi na kuwa na vitu substandards! Refer ununuzi wa mabehewa ya SGR!
Eti not even close, Karura Forest is 1000 hectors of natural forest within the City. Hio msitu yenu ni hectors ngapi au ni zile miti za estate unaita msitu. 🤣 🤣 🤣not enough View attachment 2590907
Eti not even close, Karura Forest is 1000 hectors of natural forest within the City. Hio msitu yenu ni hectors ngapi au ni zile miti za estate unaita msitu. 🤣 🤣 🤣
Ngong Road Forest
Nairobi Arboretum
Nairobi leafy suburbs.