Walikurukurupuka hawakujitosheleza kwenya kufanya upembuzi yakinifu kwaajili ya huo mradi,Kuna namna BRT Kenya imekuwa cursed, haiwezekani kila wakianza wanaishia njiani, yaani walianza na lipstick wakachemsha, nyege zikawapanda tena wakaja na hii wakachemsha, kutakuwa na mkono wa mtu si bure[emoji28][emoji28][emoji28]
πππ na uandishi wake huo kama wa ngonjeraKumbe umemnasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wasipoguswa hakuna maana ya wengine kuchukuliwa hatua maana wanasiasa ndio hutoa maagizo potofu kwa watendaji kwa kujua muda wao ni mfupi wa kuwa madarakani.Tatizo Wanasiasa hawataguswa
Hii project iliwatenga kabisa walemavu,yaani mlemavu ashuke na bicycle kutoka kwenye hizo ngazi,suataongeza ulemavu tena[emoji41][emoji41]
Stupid kenyan
True.Hawa majamaa wa Western kumbe walikua wamekalia talanta tu hivi. Tulidhani Kenya ni long distance races too. Soon tutadominate hadi sprints.
Hamna kitu apo hao Ni machizi tu kamachiziWenyewe wanasema βwana IQ kubwaβ [emoji23][emoji23][emoji23]
Westland+upperhill+CBD ππππ
MUNGU wa ibrahimu ndio MUNGU wa yakubu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1970783
Acha porojo.
Watanzania wengi ni masikini na mbaya zaidi inaonekana hatuna lakufanya.
Kenya wao wanafanya mambo yao na uchumi wao ni mkubwa zaidi yetu.
Acha kuvuta mdogo ndugu, hii nchi inawatu masikini na asikudanganye mtu umasikini wa mijini ni mkubwa. Vijana wa kitanzania wanashinda njaa.
Wakina dada wakina kaka wote wanashinda njaa.
Haya ndiyo mambo yakuhangaika nayo watu wetu wawe huru.
Unanielewa lakini wewe kilaza?
sijawai kuona kiazi kama wewe umu ndani toka nianze tumia jamiiforum... Naona unawashwa sana.Acha porojo.
Watanzania wengi ni masikini na mbaya zaidi inaonekana hatuna lakufanya.
Kenya wao wanafanya mambo yao na uchumi wao ni mkubwa zaidi yetu.
Acha kuvuta mdogo ndugu, hii nchi inawatu masikini na asikudanganye mtu umasikini wa mijini ni mkubwa. Vijana wa kitanzania wanashinda njaa.
Wakina dada wakina kaka wote wanashinda njaa.
Haya ndiyo mambo yakuhangaika nayo watu wetu wawe huru.
Unanielewa lakini wewe kilaza?
Paka apo wakenya wote wamelowaaaaaaa na GITHERI
BONGO LAND MOTHER LAND watto wa NAIKOROBOI TUNAWAKERAAA KWANI
Usishangae baada ya daraja kumalizika, mchezo ukachezwa kwa kumtumia sieji kusema kuna ufisadi hapa....