Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,710
Kwa yeyote yule ambae aliwahi kumpinga Magufuli hayuko sawa kichwani .. huwezi kuwa na akili timamu Halaf eti ulikua unapinga utawala wa JPMMm wanielewe au wasinielewe wananifahamu msimamo wangu tangu 2017 sijawahi badilisha linapokuja suala la Mwendazake Kwa sababu sijawahi mkubali ila simchukii but wao wanamuona ni Malaika wao hajawahi kosea ni immortal 😁😁
Umeshikiwa akili wewe.Kwa yeyote yule ambae aliwahi kumpinga Magufuli hayuko sawa kichwani .. huwezi kuwa na akili timamu Halaf eti ulikua unapinga utawala wa JPM
Kama ubaya au wizi wake ni kujenga bwawa la JNHP, kujenga SGR, kununua Ndege, kujenga mabarabara nchi nzima, kujenga flyovers, kujenga zahanati, vituo vya Afya na hospitali, kujenga na kurekebisha airports zote nchini, kupanua bandari na kujenga bandari mpya za kutosha, kurekebisha na kujenga vivuko na meli, kurekebisha shule kongwe nchi nzima, kuijenga DODOMA yote kwa miradi lukuki pamoja na ule mradi wa mji wa serikali, kuirudisha nidhamu serikalini, kujenga flyovers DSM namirad ya DMDP, kuanzisha miradi ya ULGSP nchi nzima.. kama huu ndio ulikua ni wizi wake basi nitachagua kuibiwa na JPM milele, kama huu ndio ufisadi alifanya nitachagua kuendelea na ufisadi huu
Wewe mbwa kummko tunakujueni nyinyi opportunists .. mlivyopigwa pini mkachagua kumtukana huyu mzalendo wa kweli wa hili taifa,
Huu Uzi usingekua na maana yoyote kama si Magufuli ..
Kaeni kimya nyie vima
Ubaya wake ni madudu ya wizi wa watu wa kabila lake aliyokuwa akiyafumbia macho na kuyatetea kwa nguvu zote mpaka kumfukuza CAG Prof. Assad aliyejaribu kuyaumbua!Kwa yeyote yule ambae aliwahi kumpinga Magufuli hayuko sawa kichwani .. huwezi kuwa na akili timamu Halaf eti ulikua unapinga utawala wa JPM
Kama ubaya au wizi wake ni kujenga bwawa la JNHP, kujenga SGR, kununua Ndege, kujenga mabarabara nchi nzima, kujenga flyovers, kujenga zahanati, vituo vya Afya na hospitali, kujenga na kurekebisha airports zote nchini, kupanua bandari na kujenga bandari mpya za kutosha, kurekebisha na kujenga vivuko na meli, kurekebisha shule kongwe nchi nzima, kuijenga DODOMA yote kwa miradi lukuki pamoja na ule mradi wa mji wa serikali, kuirudisha nidhamu serikalini, kujenga flyovers DSM namirad ya DMDP, kuanzisha miradi ya ULGSP nchi nzima.. kama huu ndio ulikua ni wizi wake basi nitachagua kuibiwa na JPM milele, kama huu ndio ufisadi alifanya nitachagua kuendelea na ufisadi huu
Wewe mbwa kummko tunakujueni nyinyi opportunists .. mlivyopigwa pini mkachagua kumtukana huyu mzalendo wa kweli wa hili taifa,
Huu Uzi usingekua na maana yoyote kama si Magufuli ..
Kaeni kimya nyie vima
Mkuu, kwani sababu ya CAG kutoteuliwa tena kuendelea kipindi chake Cha pili ilikua ni ipi?Ubaya wake ni madudu ya wizi wa watu wa kabila lake aliyokuwa akiyafumbia macho na kuyatetea kwa nguvu zote mpaka kumfukuza CAG Prof. Assad aliyejaribu kuyaumbua!
Eti sehem unayofanya kazi 🤣Kwa mfano Mimi sehemu nayofanyia kazi yaani wale wateule walioletwa nae hakuna hata mmja aliyekuwa anaweza kuwanyooshea mkono Kwa sababu walikuwa wanaogopwa na kusema ni watu wa system sijui wa Magufuli nk.
Sasa walitumia hiyo chance Kuiba sana,ilitengenezwa mentality mbaya na Kitendo Cha kumtimua CAG na hofu iliyokuepo hakuna mtu aliweza kuripoti si vyombo vya habari Wala TAKUKURU..
Binafsi nimewahi ku experience nikienda kufanya my routine task ila Nje na Kituo Cha kazi Kwa Mwezi ila watu wanakuogopa Wana ku skip yaani ilikuwa ni shida..
Kaka hakuna kumvumilia, mnyooshe tuone ujinga wakeEti sehem unayofanya kazi 🤣
Wew si dalali wa mabati? Au unabisha? Nikuumbue
Hii nchi ina wapumbavu wengi sana.wafuasi wa mwendazake humu hawawezi kukuelewa si ndo maana nasema Usukumagang ulitamalaki!
I haven't watched the video yet, but am sure the video talks nice about Nairobi, that's why to you is very honest, am I wrong?Here is a veeery honest review on the matter of dar vs nairobi…. Let everyone watch it then tupatane nyuma ya tent to discuss [emoji4]
Ona [emoji3516][emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ubaya wake ni madudu ya wizi wa watu wa kabila lake aliyokuwa akiyafumbia macho na kuyatetea kwa nguvu zote mpaka kumfukuza CAG Prof. Assad aliyejaribu kuyaumbua!
Here is a veeery honest review on the matter of dar vs nairobi…. Let everyone watch it then tupatane nyuma ya tent to discuss [emoji4]
Akibisha nitag [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eti sehem unayofanya kazi [emoji1787]
Wew si dalali wa mabati? Au unabisha? Nikuumbue
I haven't watched the video yet, but am sure the video talks nice about Nairobi, that's why to you is very honest, am I wrong?
Hakuna siku clean city ikashindanishwa na dirty city.Here is a veeery honest review on the matter of dar vs nairobi…. Let everyone watch it then tupatane nyuma ya tent to discuss [emoji4]
Eti Nairobi has clean roads than Dar, peleka hiyo perspective yako twitter au you tube uone aina za matusi utatukanwa na watu wakiwemo Wakenya wenzio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nope it even says nairobi has very few varieties of food, nairobi is expensive compared to dar and the like…. But infrastructure wise nairobi has wider and better roads , and it’s hard to get dirt roads in nairobi compared to dar, in dar it has good main roads but if you go deeper into the estates you start finding untarmarked roads, they loved dar beaches and stuff …. So I feel it’s quite a honest review
Huwezi fananisha jkia na huu mnanda wa soko jniaLeo umeweka hiyo Amphitheatre bila filter [emoji16]
Eti Nairobi has clean roads than Dar, peleka hiyo perspective yako twitter au you tube uone aina za matusi utatukanwa na watu wakiwemo Wakenya wenzio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]