Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
👇Umeanza kuhamisha magoli,hakuna Cha base swala ni kampuni zinazoenda Mbeya.
13.Al Saedy,
14.Happy Nation,
15.Galaxy Royal
16.Luwinzo,
Bado sijamaliza.
Hii battle umeshindwa kaa kwakutuliaUkitaka tutaje kampuni za Mabasi zinazopita njia tu DOM, MORO na SINGIDA zitaongoza kupitiwa na basi nyingi Tz ChoiceVariable

