
Kudadadeki..kwenye hiyo mitaro hatuwezi kukosa nyaa kutoka flying toilets zao.Jamaa wachafu sana, huwa picha zao ni lazima wazi make up ndiyo wazitume la sivyo ni uharo mtupu.Kudadadeki..kwenye hiyo mitaro hatuwezi kukosa nyaa kutoka flying toilets zao.
Hapa ni wap
Arusha moja hiyoHapa ni wap
Tanzania hii hata bei ya Pango Huwa ni kubwa sana ndio maana kupata wateja ni issue..Niliwaambia hapa. Sasa mnaona. Tangu nilikuwa huko 2019, haya majengo hayakuwa na tenants. Yote hayo marefu. Kuna moja tu ilikuwa nusu.
Moi University pension towers ya Eldoret is way more beautiful than that Caterpillar you guys are constructing ...vitu ndogo sana huwababaisha sana.Hamjazoea I understandChugastan, watagwan a.ka A city . Gorofa moja kali mnoView attachment 2581184vitu za viwango ka hizi kando ya NAIROBI huwezi pata popote pale in Kenya.. anaebisha anyooshe kidole juu
Wivu 😁😁Moi University pension towers ya Eldoret is way more beautiful than that Caterpillar you guys are constructing ...vitu ndogo sana huwababaisha sana.Hamjazoea I understand View attachment 2581197
Hii Dar na Mombasa sijui difference huwa nini.....mnatumia nguvu nyingi sana for nothing
In Tanzania hii lazma ni serikali inajenga.....in Kenya saccos or any private entity can do such projects with much ease.Everything in tz is a serikali projectChugastan, watagwan a.ka A city . Gorofa moja kali mnoView attachment 2581184vitu za viwango ka hizi kando ya NAIROBI huwezi pata popote pale in Kenya.. anaebisha anyooshe kidole juu
Ndo hapo. Nyingine hii. Watu wanakula kwa urefu wa kamba zao
Punguza mihemko na ukichaa🤣🤣🤣Moi University pension towers ya Eldoret is way more beautiful than that Caterpillar you guys are constructing ...vitu ndogo sana huwababaisha sana.Hamjazoea I understand View attachment 2581197


