Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanga kuna hizi kampuni za mabasi
1.Tawakal
2.Tahmeed
3.Tashrifu
4.Ratco
5.Nacharo (mpya)
6.Raha leo
7.Simba mtoto
8.Tayasar
9.Raqeeb
10.KSK
11.Bembea
Na zinginezo nimezisahau majina. Hizi kampuni zote base zao zipo Tanga city, ni ni luxury haswaa .. na zinafanya Safar zao za Tanga-Dar at least 4 times a day kila kampuni .. ratiba ya ratco hii so far 👇
IMG_20230312_130332_129.jpg
.. with no doubt naweza pia kukwambia watu wa Tanga wanasafir kwa idadi kubwa kwa siku mara kumi ya wale wa mbeya. ChoiceVariable. Hiyo mbeya mnaitia tu umuhimu lakini haiwezi ingia kwenye league ya Tanga hata siku moja.. by the way VIP buses zinakaa hivi 👇.
 
Wakunya wote wangependa kuwa Watz ila kuna Watz wachache sana kama sio hakuna kabisa wanaopenda kuwa wakunya.
😂😂😂😂 sahihi kabisa ila kuna mtanzania yupi ambae anawaza Kenya linapokuja suala la mahali pa kujivinjari?

Wakenya wanaipenda Tanzania kutoka moyoni, nikiangalia namna Watanzania walivyodry mbele ya wakenya lakini haiwaondolei wakenya tamaa ya kuja Tanzania 😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sahihi kabisa ila kuna mtanzania yupi ambae anawaza Kenya linapokuja suala la mahali pa kujivinjari?

Wakenya wanaipenda Tanzania kutoka moyoni, nikiangalia namna Watanzania walivyodry mbele ya wakenya lakini haiwaondolei wakenya tamaa ya kuja Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23]
Huwa tunawanyanyasa kweli kweli mara tuwafukuze mara tuchome vifaranga vyao mara tuwaondolee vibali vya kufanya biashara lkn wapo tuu hawakomi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huwa tunawachukulia viazi kama wacomoro lkn hawakomi maskini ya Mungu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
😂😂😂😂😂 juzi wamenangwa kwamba hawana forex na wapo hovyo lakini cha kushangaza leo wapo kwenye line wanakanyagana kuingia bongo, hivi hawa watu vipi? 😂😂😂😂
 
Kuna mkenya mmoja kule you tube analalamika eti Tanzanians do not like us, they don't listen our music, they don't watch our sports, they don't like anything from Kenya but we Kenyans follow each and everything from Tanzanians from music, football, culture and even politics.

Niliposoma nikacheka alafu nikamuambia kwani mnalazimishwa kutufuatilia? Si mbele mbele chenu, nikamwambia kwanza kuna Watz hata Kenya hawaijui kabisa, me mwenyewe miaka michache iliyopita nilikuwa cjui chochote kuhusu Kenya, basi wacha atukane [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] juzi wamenangwa kwamba hawana forex na wapo hovyo lakini cha kushangaza leo wapo kwenye line wanakanyagana kuingia bongo, hivi hawa watu vipi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Kuna mkenya mmoja kule you tube analalamika eti Tanzanians do not like us, they don't listen our music, they don't watch our sports, they don't like anything from Kenya but we Kenyans follow each and everything from Tanzanians from music, football, culture and even politics.

Niliposoma nikacheka alafu nikamuambia kwani mnalazimishwa kutufuatilia? Si mbele mbele chenu, nikamwambia kwanza kuna Watz hata Kenya hawaijui kabisa, me mwenyewe miaka michache iliyopita nilikuwa cjui chochote kuhusu Kenya, basi wacha atukane [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
wanatunanga na kututetea wenyewe kwa wenyewe 😅😅😅

Screenshot_20230409-113055.png
 
wanatunanga na kututetea wenyewe kwa wenyewe [emoji28][emoji28][emoji28]

View attachment 2582036
Ebhn kampa vitasa sio vya nchi hii [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Alafu uyo jamaa atakuwa mjaluo mana Wajaluo ndio wengi alafu ni mafukara mnoo na ndio 3/4 wanaishi kwenye ma slums ya kutisha, so mda mwingi wana chuki sn.
 
Tanga kuna hizi kampuni za mabasi
1.Tawakal
2.Tahmeed
3.Tashrifu
4.Ratco
5.Nacharo (mpya)
6.Raha leo
7.Simba mtoto
8.Tayasar
9.Raqeeb
10.KSK
11.Bembea
Na zinginezo nimezisahau majina. Hizi kampuni zote base zao zipo Tanga city, ni ni luxury haswaa .. na zinafanya Safar zao za Tanga-Dar at least 4 times a day kila kampuni .. ratiba ya ratco hii so far 👇View attachment 2581995.. with no doubt naweza pia kukwambia watu wa Tanga wanasafir kwa idadi kubwa kwa siku mara kumi ya wale wa mbeya. ChoiceVariable. Hiyo mbeya mnaitia tu umuhimu lakini haiwezi ingia kwenye league ya Tanga hata siku moja.. by the way VIP buses zinakaa hivi 👇.

Mbeya Kuna kampuni zifuatazo
1.Sauli,
2.Achimwene,
3.Newforce,
4.Greenline,
5.Abood,
6.Majinjah,
7.Mastet lux ,
8.ABC Upper Class,
9.Mohsol Express,
10.Mbeya Expree,
11.Shabiby line,
12.Rungwe,

Nitaendelea baadae ukizoleta za Tanga.
 
Mbeya Kuna kampuni zifuatazo
1.Sauli,
2.Achimwene,
3.Newforce,
4.Greenline,
5.Abood,
6.Majinjah,
7.Mastet lux ,
8.ABC Upper Class,
9.Mohsol Express,
10.Mbeya Expree,
11.Shabiby line,
12.Rungwe,

Nitaendelea baadae ukizoleta za Tanga.
Umetaja gari karibu zote base zao sio Mbeya.. kwa kifupi Mbeya haiwezani na Tanga kaka .. gari nimetaja mimi zote ni za home. Sijataja zile ambazo ni za kupita tu kama zitaamua kubadili route bas haziji tena uko
 
Umeanza kuhamisha magoli,hakuna Cha base swala ni kampuni zinazoenda Mbeya.

13.Al Saedy,
14.Happy Nation,
15.Galaxy Royal
16.Luwinzo,

Bado sijamaliza.
 
Back
Top Bottom