Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ATCL is the only airline that has never made any profit since its inception.

View attachment 2570218
Mwaka jana ilikuwa 60b mwaka huu 30b usichoelewa ni nn apo? Inalipa madeni iliyokuta so faida iliyopatikana imelipa madeni mpk imebaki iyo 30b, next year nafikiri itamaliza kabisa, wakati atcl ikipunguza deni the loss making air line ime double loss this year [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
ATCL ishaitengeneza faida? Ama hata hawajui faida ni nini?[emoji23][emoji23]
We ni chizi wa wapi? Mwaka jana deni lilikuwa 60b now ni 35b zen unauliza kuhusu faida, kama haikutengeneza faida deni lingepunguwa vipi.
 
Watchman umerudi Tena? Kidogo kidogo utaanza kulia hapa ukiitisha usaidizi from moderators. I never knew you are such a cry baby 😂😂🤣🤣
 
Why should I be pained by a loss making airline? Air Tanzania is the only airline that has never made profit since its inception [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli, hata mimi nakusupport hapo. Ila tatizo lako kubwa ni njaa. Ndo maana kila kitu kutoka kwako ni utumbo mtupu!

Hivi leo usiku umekula kweli. Maana si kwa makasiriko haya.[emoji1787][emoji1787]
 
I believe you can see for yourself how far that plane was, it was an emergency landing, you don't wanna keep anyone near the airport in danger, in case of an explosion.
 
[emoji1787][emoji1787] oneni huyu...hawa ndo great thinkers wa Tanzania
Just because the debt has reduced that means the airline has made profit according to him 😂😂🤣. It's been 46 years yet their airline has never made any profit.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…