Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

When will Any Time Cancellation Limited (ATCL) make even a single profit?


Any Time Cancellation Limited (ATCL) has gone rouge 😂😂😂


Mm nimefurah kuskia imepunguza hasar ya almost 50% within one year nimefurah sana from 60b to 35b yani bonge la gap hongereni sana ATCL mwakani tutaskia mazuri zaidi👇👇👇👇

From 60b 👇👇






To 35b 👇👇👇
 
Mimi hushinda nikiwaambia, the only reason wabongo wana sauti humu ni kwa sababu mambo ya Kenya yapo wazi, shida za Kenya zipo wazi. Huko kwao wanaficha. Si huwa wanatucheka humu jinsi tunalishwa na Ukraine - nchi iliyo vitani? Ona wanaimport ngano nyingi Ukraine kutushinda. [emoji1787] [emoji1787]

The difference ni kuwa nyie mnaoata msaada wa chakula toka Ukraine. Yaani food Aid, plus donations. What a shame .
 
When will Dodoma reach these levels of Tatu City. This is just industrial Area.


White elephant ina zaidi ya miaka 10 lakini hata 1% ya render bado 😆😆😆😆
images - 2023-03-29T205413.741.jpeg
images - 2023-03-29T205423.341.jpeg
 
Loss making entities 😂😂😂


Mm haya makampuni hata siyalaumu kwasababu bado uwekezaji unaendelea air tanzania bado kuna ndege wanatakiwa wapokee zaidi ya ndege 5 na TRC siwezi kulaumu kwasababu bado uwekezaji unaendelea lakini ajabu ni hii sasa 😆😆👇






Alaf mbaya zaidi na kitu kinachostua zaidi ni zile penalties za loan amabazo mchina kila mwaka anawatandika 😆😆😆

2021 466m ksh



Alaf 2022 1.3b penalty on SGR loan
 
In USA, only Republican and Democrats, in UK only two political parties, in China, South Africa, Cuba, Sychelles and Mauritius only one palirical party, in Kenya only two tribes, can you see the difference?
Danganyika is nowhere near the countries you mentioned. Ccm is an authoritarian party
 
Imefuliliwa lini just 3 yrs ago na imepunguza hasara from 60b to 35b within a year wakat kq imeongeza hasara from 16b to almost 39b 😆😆
Tangu ATCL ianzishwe ishaitengeneza faida? Mbona hiyo swali simple inakushinda kujibu?
 
Mm nimefurah kuskia imepunguza hasar ya almost 50% within one year nimefurah sana from 60b to 35b yani bonge la gap hongereni sana ATCL mwakani tutaskia mazuri zaidi👇👇👇👇

From 60b 👇👇






To 35b 👇👇👇

ATCL ishaitengeneza faida? Ama hata hawajui faida ni nini?😂😂
 
Back
Top Bottom