Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ATCL ishaitengeneza faida tangu ianzishwe?πŸ˜‚πŸ˜‚
Imefuliliwa lini just 3 yrs ago na imepunguza hasara from 60b to 35b within a year wakat kq imeongeza hasara from 16b to almost 39b πŸ˜†πŸ˜†
 
When will Any Time Cancellation Limited (ATCL) make even a single profit?

Any Time Cancellation Limited (ATCL) has gone rouge πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mm nimefurah kuskia imepunguza hasar ya almost 50% within one year nimefurah sana from 60b to 35b yani bonge la gap hongereni sana ATCL mwakani tutaskia mazuri zaidiπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

From 60b πŸ‘‡πŸ‘‡





To 35b πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 

The difference ni kuwa nyie mnaoata msaada wa chakula toka Ukraine. Yaani food Aid, plus donations. What a shame .
 
Loss making entities πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mm haya makampuni hata siyalaumu kwasababu bado uwekezaji unaendelea air tanzania bado kuna ndege wanatakiwa wapokee zaidi ya ndege 5 na TRC siwezi kulaumu kwasababu bado uwekezaji unaendelea lakini ajabu ni hii sasa πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡





Alaf mbaya zaidi na kitu kinachostua zaidi ni zile penalties za loan amabazo mchina kila mwaka anawatandika πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

2021 466m ksh


Alaf 2022 1.3b penalty on SGR loan
 
In USA, only Republican and Democrats, in UK only two political parties, in China, South Africa, Cuba, Sychelles and Mauritius only one palirical party, in Kenya only two tribes, can you see the difference?
Danganyika is nowhere near the countries you mentioned. Ccm is an authoritarian party
 
Imefuliliwa lini just 3 yrs ago na imepunguza hasara from 60b to 35b within a year wakat kq imeongeza hasara from 16b to almost 39b πŸ˜†πŸ˜†
Tangu ATCL ianzishwe ishaitengeneza faida? Mbona hiyo swali simple inakushinda kujibu?
 
ATCL ishaitengeneza faida? Ama hata hawajui faida ni nini?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…