Wakati ATCL is improving, the one at the corner is disintegrating,. Failed stateFrom 60b to 35b within a year [emoji116][emoji116][emoji116] Nicxie
From 60b 2020 to 35b 2021/2022[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Vipi kq naskia ime double loss tena [emoji38] from 16b to almost 39b
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nicxie maneno yangu unayakumbuka lakini nilikwambia nitakutafuta tu na bado utanielewa zaidiWakati ATCL is improving, the one at the corner is disintegrating,. Failed state
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kenya isingekuwa njaa na ukabila isingejulikana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Walinyoroooooooooooshwa kama kawaida.
Kajaza wezi wa msoga kila kona! Asepe yuhu mama kwa kweli.
Hao wote ni wezi na kikundi kinachoratibiwa na Kikwete na ndio wanaotaka urais.Anakasirika nn wakati wizara muhimu za nchi hii anawapa kina nape sijui makamba sijui mwigulu atulie hana cha kufanya kwa sasa
Mungu ibariki tanzania 🇹🇿🇹🇿
Yani ukichukia takwimu za Kia +Dar+znz halafu ukazilinganisha na Nairobi hapo ndo utajua nani yuko vizuri. Sisi fully international airports 3 hao hiki hiko kinairobi tu.Kwa namna aviation industry yetu ilivyo usitegemee kuona viwanja vinajazana mpaka tuongeze maturubai, International Airports zetu zinacompliment each other perfectly sababu nchi yetu left, right and centre kote ni destination sio lazima kila mtu aje JNIA, na kote huko facilities zinaruhusu, tofauti na nyie kama hujatua JKIA basi hujafika Kenya. Hii ndio tofauti yetu na ndio maana unaona last year Karume ilikuwa ahead of JNIA kwa idadi ya passengers.
Nani ka-mention kujengwa na Wakoloni? BTW JKIA ilijengwa na EAC na si na serikali ya Kikunya!
Kuna hoteli mbili za Hilton Nairobi, ingine iko UpperHillIlikufa hii...