kumbe imewauma?...ila ni kweli...wakenya wengi wake kwa waume mna sura mbaya sana.upuuzi ni wakati mtanzania analeta hoja eti wakenya wana nyuso mbaya na watanzania wana nyuso nzuri..

sasa si uendelee kutuma zile picha za MerryGoRound na bouncing castles.... at your age... kisha alafu unasema "bongo raha" ???? sillyAsisee sasa mmehamia huko. Naona ndugu zetu wakenye mmeishiwa point sasa. Yaani sisi watu wazima tuanze kutafuta nani alisoma na kuishi kenya!? Eti kingereza cha kenya. Huu sasa ni upuuzi kiwango cha sgr.
ongeza Ali Kiba, Prof. Jay na JPM......Lakini wenyewe wakiona watu wachache kama Diamond wanafikiri watanzania wote wapo hivyo.
ukweli...ila sio wote..kuna warembo kenya haswa kule pwani na maeneo ya central kenya...kama vile tu sio watanzania wote wanaozungumza kiingereza kibovu...ingawa nadhani ni only 1% ndio wanaweza wakaongea kiingereza kizurikumbe imewauma?...ila ni kweli...wakenya wengi wake kwa waume mna sura mbaya sana.
![]()
![]()
![]()
![]()
Jengo kama hilo lingekuwa kwa wenzetu lingekuwa na mnara mrefu sawa na floors.
Jengo kama hilo lingekuwa kwa wenzetu lingekuwa na mnara mrefu sawa na floors.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Lakini bado tunapiga chini licha ya cosmetics
Masomo duni hayohahaha. ...utatukoma.....KICC na Times Tower hazina mnara. ....Upperhill kuna miti mingi and so it's prone to lightening attacks....so lazma lighting arrestors ziwe kwa building. Hii ni masomo niliyopata darasa la tano
mnara ikona kazi yake katika jengo sio tu kurembesha....ila wewe sijui shule uliruka darasa la kwanza...huelewi hilo umekuwa ukiimba imba minara....soma hapa kama utaweza...mnara sio jambo geni duniani...Jengo kama hilo lingekuwa kwa wenzetu lingekuwa na mnara mrefu sawa na floors.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Lakini bado tunapiga chini licha ya cosmetics
punguza hasira....Miaka saba hapa jf lakini mawazo yako nia kitoto sana

yawezekana huyo si mtz,ni dada wa kikenya aliyekuja dar es salaam kwa matembezi maalum.![]()
![]()
![]()
![]()
😀😀😀😀![]()
![]()
