Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani is it a lie that maize farmers are poor compared to Miraa farmers? 90kg sack of maize is only $50 while 90kg sack of Miraa is $1500.
Hizi akili zenu huwa zinanishangaza Sana, What is the Cost of 1kg of majani chai?. Kenyans get about $1.2B yearly from majani chai, how much does Kenya get from exporting miraa yearly?. Kwanini hakuna investors wakubwa wanaowekeza kwenye miraa badala yake wanalima majani chai?. Tumia akili kufikiria

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
They said the express way would remain empty and wount be used but now actually it’s so full till it gets traffic jam sometimes
 
Buses hulipa fees kuingia stand and so are pasengers and people visiting the bus stand. Also kwenye stands kuna maduka and other recreational facilities ambapo wanalipa rent na taxes. Vipi bado hujaona serikali inaingizaje hela kwenye bus stands?
 
Affordable housing projects are being launched in every county not just the capital soon all counties will be well developed
 
Hebu nitajie hizo viwanda vilivyojengwa na wakoloni moja baada ya nyingine tuzione
Hivyo viwanda tulijenga sisi kama EA community. Tutajie mlivyojenga nyie baada ya collapse ya EA community.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…