Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,709
Chukueni hatua stahiki nyie watu.. tutawaachia vumbi tuKama ulisoma kila kitu nilichoandika kuna mahali nimesema nchi yetu kuwa kamwe sehemu kubwa haifai kuwa kisingizio. But of course you couldn't see that for obvious reasons.
There's nothing to benchmark coz hayo yote walishafanya but hakuna kilichofanyika. The thing is, the government needs to act and act on a serious note coz they know what they need to do
Akifa mkikuyu ndio wanahesabuHivi ninyi wakenya mko na matatizo gani?, Hawa hapa wakenya wanaendelea kufa kwa njaa,
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ndio maana nakwambia you are too emotional than objective.Show me where he mentioned vijana maalum ama idadi yao kwenye ile post yake. He said kila kijana. Wewe ndio unafaa kusoma uache kukurupuka
Kama huendeshwi na ushabiki, basi akili yako ni ndogo Sana, hujui lolote. Jinsi ulivyojibu ninakubaliana na wewe kwamba huna ushabiki ila ni uwezo wako mdogo wa akili.Mimi siendeshwi na ushabiki wala nini. Nimenukuu aliyosema mwenzako kwamba KILA kijana anapewa hekari kumi. Aliposema hivyo mtu anafaa kuelewa aje?
Kuhusu madini na remittances, haya ni mambo mawili tofauti. Pesa Tanzania inapata kutokana na mauzo ya madini yanaenda kwa kikapu cha serikali, si mtu binafsi kama ilivyo remittance in case of Kenya.
Serikali inafaa kutumia hiyo pesa kuboresha maisha ya watanzania which is not the case kwa sababu Tanzania ndio nchi inayoongoza kwa umasikini ukanda huu.
Remittance zinazingia Kenya kwa kiasi kikubwa hutumiwa na hizo recipient families kujikumu na kujiimarisha kiuchumi.
Hawa ni watu wanatuma hela nyumbani kuwekeza kwenye sekta mbalimbali, kusomesha familia na mambo kama hayo. These have effects on the general well-being of these people besides earning the government money in forex charges
Eti Kenya hakuna sustainable source of revenue???πππ Wewe ni mbwa sana.Kenya hakuna sustainable source of revenue. Kenya will always be dependent nation.
Hamtokaa muweze kuendeleza nchi yenu without cooperation with neighboring country. Ile EGO yenu ya kipumbavu itaendelea kuwala na muendelee kuwa omba omba.
Bila shaka utakuwa umepata hypoglycaemia naona uko disoriented kidogo.Hatujajaribu, Mombasa has more bridges than Dar and Mwanza combined.
Tax collection from where? We are talking about sustainable revenue for a nation. You dependent from tax collection from which investment?Eti Kenya hakuna sustainable source of revenue???πππ Wewe ni mbwa sana.
The main source of revenue for governments all over the world is tax collection ambayo tunawazidi mbali tena sana licha ya nchi yenu kuwa na idadi kubwa ya watu. Yani ninyi ni kelele tu hata taxes hamlipi ambayo ni jukumu la kila mwananchi. Alafu uko hapa kutoa povu! ππ
Huwezi kuambiwa Kila kitu, lazima uwe unatumia akili yako, aliposema Kila kijana anapewa hekari kumi, wewe kwa ujinga wako ulidhani ni vijana wote hata wale wagonjwa wa akili, walemavu wasio na viungo. Vijana wa kitanzania waliopo nje ya nchi, wanajeshi, waalimu, wacheza mpira, majambazi.Show me where he mentioned vijana maalum ama idadi yao kwenye ile post yake. He said kila kijana. Wewe ndio unafaa kusoma uache kukurupuka
Bongolala unasema naendeshwa na hisia but ni dhahiri wewe ndio unaendeshwa na hisia na ushabiki za kijingaKama huendeshwi na ushabiki, basi akili yako ni ndogo Sana, hujui lolote. Jinsi ulivyojibu ninakubaliana na wewe kwamba huna ushabiki ila ni uwezo wako mdogo wa akili.
1)Kwanza pesa ya madini hiyo $2.9B sio pesa ya serikali, ni pesa yote iliyopatikana kutokana na mauzo ya dhahabu, yaani imeingia katika mifuko ya wachimbaji, serikali imepata Kodi ni mirabaha tu.
Hata Kama pesa yote hiyo ingeingia serikalini, na Kama hiyo pesa inatosha kuwafanya watanzania kuondokana na umasikini?,
Wewe akili yako ni ndogo Sana, kati ya pesa inayoingia serikalini na pesa inayoingia Moja kwa Moja mikononi mwa watu, ipi ambayo inamaliza umasikini wa watu binafsi?.
Kenya Remittances zinaingia Moja kwa Moja kwa wakenya, iweje wakenya wengi wanashindwa hata kupata chakula, iweje Kenya ndio inaongoza kwa slums duniani, vipi ndio mnaongoza kwa kuwa na hali mbaya ya maisha hapa EA?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Unataka nitumie akili kutathmini aliyosema wakati wewe hatumii akili kutathmini kwamba watu milioni mbili unusu can't fit an area measuring 2.5 square kilometers? (Kibera) Am ikija hapo akili inaenda missing?Huwezi kuambiwa Kila kitu, lazima uwe unatumia akili yako, aliposema Kila kijana anapewa hekari kumi, wewe kwa ujinga wako ulidhani ni vijana wote hata wale wagonjwa wa akili, walemavu wasio na viungo. Vijana wa kitanzania waliopo nje ya nchi, wanajeshi, waalimu, wacheza mpira, majambazi.
Kwahiyo aliposema vijana wote, wewe bila hata kutumia akili ukadhani ni wooote vijana wa Tanzania, kwanini usingefikiria kwamba haiwezikani vijana wote kufanya kazi katika sector Moja pekee?, Ulishawahi kuona wapi duniani vijana wote wakafanya kazi Moja?, tumia akili kidogo.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
China, Qatar, Botswana, Saudia Arabia, Iran, Norway na nchi nyingi zilizoendelea, zinapata pesa nyingi kutokana na investment zaidi kuliko taxes.Eti Kenya hakuna sustainable source of revenue???[emoji23][emoji23][emoji23] Wewe ni mbwa sana.
The main source of revenue for governments all over the world is tax collection ambayo tunawazidi mbali tena sana licha ya nchi yenu kuwa na idadi kubwa ya watu. Yani ninyi ni kelele tu hata taxes hamlipi ambayo ni jukumu la kila mwananchi. Alafu uko hapa kutoa povu! [emoji23][emoji23]
What could be more sustainable source of revenue for a country than tax collection? Wewe ni boya sanaTax collection from where? We are talking about sustainable revenue for a nation. You dependent from tax collection from which investment?
Withour sustainable resource for investment revenue itakuwa ya kuunga unga tu.
Mnategemea misaada na mikopo kila mwaka.
Hapo inajengwa BRT hiko kipande ndio maana kiliachwa hivyo.
Kipimo Cha chini kabisa Cha hali mbaya kabisa ya maisha ya binadamu ni upatikanaji wa chakula, Kenya ndiyo nchi yenye idadi kubwa ya watu ambao hawana chakula hapa EA.Bongolala unasema naendeshwa na hisia but ni dhahiri wewe ndio unaendeshwa na hisia na ushabiki za kijinga
Unaposema wakenya ndio wako na maisha mbaya zaidi hapa east Africa do you have any evidence to back up your claim? Last time I checked, Tanzania had 28 million people living in extreme poverty, the highest number of any country in EA. These are data provided by the WBG and verifiable. Wewe nawe, on the other hand, unakwama na data za kutoa akilini.
On the same note, last time I checked, Kenya is ahead of you in HDI na GDP per capita, mambo mawili yanayotumika kupima umasikini.
Natural resources kama madini ni mali ya serikali jinsi ninavyojua unless huko kwenu it's a different story so usituambie eti pesa zinazotokana na mauzo ya madini yanaenda kwa mifuko ya watu binafsi
Remittance unayotaja inafikia familia chache with kins abroad. How you expect that money to help a large number of Kenyans is baffling to say the least. Hiyo pesa inasidia hizo familia tu, not every Kenyan as you purport
Kwa mambo uliyotaja,China, Qatar, Botswana, Saudia Arabia, Iran, Norway na nchi nyingi zilizoendelea, zinapata pesa nyingi kutokana na investment zaidi kuliko taxes.
Tanzania tunawekeza Sana katika miradi ya kimkakati Kama viwanda, reli, ndege za mizigo na abiria, bandari, masoko, stand za mabus, Natural gas, hydroelectricity, real estate, migodi na mashamba, baada ya miaka kadhaa, Kodi zitazidiwa kimapato
Kenya zaidi ya kutoza kodi, hamna source nyingine yoyote ya maana, matokeo yake watu wanakua na hali ngumu ya uchumi kutokana na mzigo wa Kodi kuwaumiza raia.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Haya mawazo ya kimasikini mdogo wangu. Tell how much do you collect from tax per year? What is the percentage of tax collection for your total revenue?What could be more sustainable source of revenue for a country than tax collection? Wewe ni boya sana
Haya tueleze basi, what's your country's sustainable revenue source(s)?
What??? Viwanda vilivyojengwa na mkoloni ndivyo mnaviringia?Kwa mambo uliyotaja,
1. Tanzania haizidi Kenya kiviwanda. Kenya is the most industrialized country in east Africa ππ
2. Tanzania bado inajenga reli zake wakati zetu ziko operational na zinaingizia nchi mapato ππ
3. Aviation (Ndege). Kenya is the aviation hub in east Africa. ππ. Tunawazidi in both passenger numbers and cargo volume
4. Bandari. The biggest and bussiest port in East Africa ipo Kenya (port of Mombasa) ππ
5. Masoko. Kenya has modernized her markets and built bigger ones in the recent past just like you've done
6. Stand za mabus. Hapo mpo juu but I wonder how it qualifies as a sustainable and leading source of revenue to your government.
7. Natural gas. That's a naturally occurring resource that not everybody has. Sisi pia tuko na geothermal yetu
8. Hydroelectricity. Kenya produces more electricity than Tanzania and also consumes more electricity than Tanzania ππ. Data zipo ukitaka
9. Real estate. Hapo hata hakuna cha kusema. Kenya's real estate sector is more developed than what you have down there
So bongolala, kwa hayo ulitlyotaja, which ones give you bragging rights over Kenya?
Kelele na povu itabidi uache!!
How much do we collect from taxes?? It's a lot bongolala. More than you collect down there.Haya mawazo ya kimasikini mdogo wangu. Tell how much do you collect from tax per year? What is the percentage of tax collection for your total revenue?
Nchi isiyofanya investment nchi hiyo itakuwa dependent maisha yake yote.