REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,668
- 11,674
Kuna rushwa kubqwa inaendelea pale TFF katika kuajiri makocha na serikali wapo wapo tu. Huyu Kocha mpya alikuwa akifundisha Burundi kashindwa, Kaenda Kenya, wakapigwa na Lesotho akatimuliwa, kaenda Botswana wakapigwa na Malawi, pia alikuwapo Congo nako alifeli vibaya. Hapa ametoka Asia hukoalipokuwa akifundisha, na kapoteza mechi karibia zote.Nimekuelewa kaka, tatizo halipo kwenye ligi wala kuwa na wachezaji wageni bali timu ya Taifa. Kwa hoja yako hiyo ya competence, inakuwaje nchi za Afrika Magharibi zenye ligi mbovu kuweza kufanya vizuri kwenye timu zao za taifa?
Wakenya wanapenda ugali sana.Ukweli hawa watu ni mafukara,
Yaani bei ya Unga wa ugali imesababisha maandamano ya nchi nzima ?
Hawapendi, ni njaa tu. Ugali sio chakula! 😂Wakenya wanapenda ugali sana.
Why should we protest while all basic needs are affordable?Of kos so that Kenyans can purchase more with their money. Najua Tanzania nyinyi ni matajiri nyote you dont even need to protest ndo maana mko LDC.
Anajua maana ya protectorate huyo. We were never a British colony hence there was no need to fight for our independence. We just took back our country.Jifunze historia vizuri. Kenya was a British colony while Tanganyika was a protectorate.
In other words unaffordable basic needs sio?High cost of living
Tuliijenga nchi yetu wenyewe, waingereza hawakufanya investment yoyote ya maana zaidi ya kujenga kipande cha reli Tabora - Mwanza ili waweze kuhamisha mali za Tanganyika kwenda Kenya /Uganda kupitia ziwa victoria.Anajua maana ya protectorate huyo. We were never a British colony hence there was no need to fight for our independence. We just took back our country.
Eleza nchi zote duniani ambazo zinatawaliwa kwa haki na sheria hasa zilizoendelea, umeshaona maandamano yenye fujo na watu kupigwa hovyo na polisi?, taja nchi Moja tu.Akili gani huku umenyimwa media freedom na freedoms zingine za kimsingi?? We acha mwenye akili ni yule anayefahamu haki zake na yuko radi kupigania haki zake zisikue trumped upon. Eti watanzania ni wastaarabu na wenye akili kwa kutoandamana [emoji23]
Usijali,,,hiki kipindi kinapita tu Na mambo yatakuwa Sawa,Mkuu na wewe ulienda kuandamana sababu ya unga wa ugali price increase?
JF ni kubwa mdogo wangu. Kwa siku zinaanzishwa threads zaidi ya 500. Kunyatalk huko wamekalia ukabila na kutukanana.Watanzania sasa mpo obsessed na kenya. Nyuzi zaidi ya 20 kuhusu maandamano ya kenya na hakuna hata moja imefunguliwa na mkenya
#their belt#View attachment 2561199
Kenya and Tanzania are punching below there belt. They can do more than the 1m they are currently getting. There is more to these countries than wildlife and beaches. Just have to be creative.
Watu 9,000 wakiwamo wakenya waweze kuongelea Tanzania yenye watu 60,000,000 +Watanzania ni waoga tu. Wanateseka na wamenyamaza😂😂😂
France wana protest bei ya unga?France saa hizi kuna protests so unataka kuniambia wafaransa ambao wanawasha moto kwa barabara ni maskini? wacha bangi za ccm wewe