How roads in the CBD Should look likeHii picha hua inawakera sana majiraniView attachment 2557740
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
How roads in the CBD Should look likeHii picha hua inawakera sana majiraniView attachment 2557740
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Safi this is good tuna imrpove Alevel eductation i hope zitajenga maabara pamoja na ku equip na ICT
Wao wanatume ya umwagiaji maji ya washawasha na teargass 🤣🤣🤣🤣
Na hapo hapo ongeza yanga 1.5b haier mdhamini wa mechi sita za makundi 😆😆
Fafanua kidogo mkuu😁Sisi tunaenda mbele wenzetu wanaandamana wapate ugali
![]()
Kweli tumeona 🤣🤣🤣🤣How roads in the CBD Should look like
View attachment 2559409
Hua mnapenda league za kitoto sana, sasa hapo tofauti ni nnHow roads in the CBD Should look like
View attachment 2559409
Tanzania yangu,Mungu ibariki🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿BLOCK FARMING MODEL
Tanzania tunaendelea kusonga mbele. Wao wanaandamana sisi tunaenda na Block Farming
![]()
Kuna account kwenye twitter inaitwa Tanzania Bound Buses imaalikwa kwenye uzinduzi wa kuunganisha magari hapa TZFafanua kidogo mkuu😁
Ni 🔥🔥🔥 Kila Kona ya Tanzania ,mpunga upo 👇Si Mchezo, Samia kaamua kutokomeza njaa na kuongeza ajira za uhakika kwenye kilimo.