ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 79,425
- 85,268

Naona Teargas kaamua kuondoka na askari😁😁
Ile eastleigh hua wanapost hapa hii hapa sasa munaeza ona bila filter wala makeup🤣
Watakwambia sio mpya .,wakenya wasee kweli Kitu kiko Boeing FactoryJe watafurahia wakenya??iko kwenye majaribio ya mwisho
View attachment 2559081View attachment 2559082View attachment 2559083View attachment 2559084
Dah sijui kama hawapata maafa. 2007 walichinjana wa mshukuru Mh JK ailenda wapatanisha. Lakini bado hawajajifunza. Hapo wanufaika wakubwa ni wanasiasa.
Minyang'au yote leo imesambaratika na mauongo yao😂😂