Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanga port imepokea meli tatu this month sasa nioneshe lamu port imepokea meli gani mwezi huu ukipata nitag 😆😆👇👇👇
ippmedia.com
IPPMEDIA › business
Tanga Port to receive third largest cargo ship in a month - IPPMEDIA
Tanga port is receiving boats not ships. Sasa vitu vya 100 meters pia ni kupigia watu kelele?😂😂🤣
 
Kiwanda cha Jeans Mabibo Dar es salaam (Tanzania Tooku Garments Co., Ltd.)
EPZ
IMGS0504.JPG


18056576_952430631526125_6829492449332509956_o.jpg


E86VUL3WQAAGgm-
 
Nauliza tena swali ni lini mara ya mwisho lamu port imepokea meli ??😆😆 tanga port ishapokea meli tatu mwezi huu alone

Ww zunguka lakini mwiba uko pale pale 😆
CMA CGM Cabu



MV Amu and MV Songa
 
Ukimwambia ni white elephant anakasirika tanga wamefungua bearth juzi tu ishapokea meli tatu mfululizo [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Kitu napenda kuhusu ports za Tanzania huwa zinapokea meli zenye vitu vya maana.

Nchi zingine ni chakula na misaada ya chakula. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kitu napenda kuhusu ports za Tanzania huwa zinapokea meli zenye vitu vya maana.

Nchi zingine ni chakula na misaada ya chakula. [emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣 meli nzima inaleta msaada wa chakula kutoka marekani na kwengineko alaf wanakwambia wao sio maskini ikiwa world bank wanaiona kenya ina umaskini imepitiliza kuliko zimbabwe
 
Kwa matokeo ya wiki hii CAF, timu za Sudan zishabolonga.. hawaingii Quarter Finals.. so Tanzania tunapanda hadi hapo nafasi ya nne
Hawa Sudan nilisema mm tutawashusha fasta, kwnz kwa hali inavyoenda hata timu zao tutakuwa tunazipiga sn tu mana timu zilikosa tu confidence, now zimesha gain confidence.
 
Back
Top Bottom