Mkuu ukusanyaji wa mapato haupimwi hivyo, unapimwa as a % of GDP, kawaida nchi inapaswa ikusamye 24% ya GDP.
Nchi zenye kukusanya vizuri Kodi wastani zipo 18 to 20%, Kenya wanatuzidi angalau wanakusanya 15%, sisi hatufanyi vizuri katika hilo eneo bado tupo 13%.
Katika ukusanyaji wa Kodi, Tanzania tupo nyuma Sana, hatupaswi kuipongeza TRA katika hili. Huwa wanajiwekea malengo yao na kuyapitsa, Kisha wanajipongeza bila kujilinganisha na malengo ya Dunia.
Sent from my itel L5007 using
JamiiForums mobile app