Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The ugly mwanza vs Kisumu city.......
tapatalk_1581158266079.jpg
download.jpg
 
Pole ,wakati mnamsubiria mzungu,Project ya HEET inatekeleza na vyuo 12 mojawapo ni hicho Cha Sokoine.

Tunajenga universities kwenye Mikoa yote ambayo Haina universities na tunapanua vilivyopo,over tsh.bil.900 zitatumika.
Nani kakuambia hatujengi universities Kenya? Kwanza tunajenga vitu high quality kuwaliko.
 
Alafu Mwanza Iko na Barabara moja[emoji23][emoji23][emoji1787]
These Tanzanian town aerial views tell the whole story.....very ugly and unplanned......maybe it's only Arusha that got it right because of its proximity to Nairobi
 
Gas plants are so cheap 188Mil usd for 185 MW ..au gharama yake ni kununua gas na frequent maintance ?

Maana juzi tu 87mW ya kakono project inakula zaidi ya 200mil usd .
Nadhani ilikuwa extension!
 
Ukimuliza mtanzania yeyote outside Dar ati flyover ni nini? Hawawezi kakujibu, hata hiyo flyover kwanza ndio hawajaiskia😂😂😂
hata huyo wa Dar alianza kuona flyover 4 years ago wakati sisi tulianza kuziona enzi za Kibaki
 
These Tanzanian town aerial views tell the whole story.....very ugly and unplanned......maybe it's only Arusha that got it right because of its proximity to Nairobi
Wacha kujipa umuhimu we famba.. Arusha haingii hata top 5 kwa miji ya Tz iliyopangwa
 
These Tanzanian town aerial views tell the whole story.....very ugly and unplanned......maybe it's only Arusha that got it right because of its proximity to Nairobi
Dar is Slum is the father of disorganization.
 
Nchi ya blackouts should take not from Kenya Power 😂😂.

Notice ya kesho ishatolewa

Back
Top Bottom