Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna dafu moja linadondoka kutoka kwenye mnazi "Free Fall"
Frevyb4XoAAxWt5
 
Reli wanaweza kuwa serious na hili eneo wakapiga hela safi sana .

Hii miradi ya SGR Chenji zilizobaki etc au wainject tu hata 100 mil usd wanajenga hata 30flr to 40 flr appartmemt/Hotel mix officces waaite TRC Tower ..Ingawa itaongeza Congestion CBD [emoji52]View attachment 2555912
Kuna vi majengo ushuzi vingi hapo vinatakiwa viondoke, kama hakuna muwekezaji bora eneo libaki empty kuliko kuwepo hayo majengo ushuzi, yanaharibu muonekano mpya na mzuri wa hilo eneo.
 

Hali inazidi kuwa mbaya

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Mm nawatakia kila la heri hiyo siku watakayoandamana, mana Wakenya wameishi maisha mabovu kwa miaka mingi sana, no food, no job, no everything, so to fight for their country and their life is the only thing that can change their lives.

Wakenya msikubali Ruto awapeleke peleke hivyo, ikibi hata damu kumwagika lkn haki yenu muipate.
 
Giza republic can never do such a thing. TANESCO huwa hawajui penye stima huenda ikipotea Hadi hao wenyewe wanajiuliza kwani imeenda wapi 🤣🤣🤣😂.

 
Kumbe hawa wachawi walikuwa wanapiga kelele na hii program imeinclude Hadi Kenya na Uganda 😂😂🤣😂. It's only that wameingia kwa party late.

20230318_105400.jpg
 
Back
Top Bottom