Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo nyang'au huwezi kumbadilisha; mwache aendelee kuamini anachokiamini.
 
88 Nairobi.

Wengine wako na gorofa tatu with none under construction na bado wanataka kujilinganisha na baba wa East, Central and West African Cities πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

View attachment 2554428
uwekezaji wa majengo unaofanyika Dodoma ingekua ni Nairobi mpaka lile pori lenu la wanyama linalochukua 50% ya Nairobi lingekua construction site
 
huyu anawapuna Wakunya kwenye kila angle kwenye burudani mpaka chakula hawapi poo!

ile mentality yao waliorithishwa na mababu zao 'Watanzania ni wavivu' siku hizi imeadimika kichizi πŸ˜‚πŸ˜‚ saivi Wamebaki na karata mbili tu English na currency, hii ya currency baada ya mwaka na yenyewe inakufa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kunyaland mpo? Maji Tanzania ni 100% bila GDP ya Makaratasi [emoji16][emoji16]

Hawa wakulungwa ni wa kuwauzia kila kitu hata maji itabidi tujenge mabomba makubwa ya kuwapelekea maji toka lake victoria maana it seems they cannot do any project successfully ulaji unakuwa mwingi mwisho project hujifia na wananchi kuteseka.
 
Sasa mko tu na 7000 km of tarmac in tz while Kenya is at 30,000km with a total road network of 180,000...facts are against your wishful thinking. Do you even know what a policy is.
Sawa lakini all our districts and regions are connected nyie sasa ni ushuzi kama wa GDP number kubwa lakini hamuwezi kujilisha pia forex reserves kubwa lakini kuna uhaba wa dollar. Something is off somewhere [emoji848] data za kupika as usual tumezoea.
 
Wewe hujatembea Dunia, ndio sababu utapapatikia Malaya Kama Akothe, huyo hana uwezo wa kumiliki Nyumba kubwa Kama hiyo Europe, hana helahuyo, onyesha miradi gani inayomuingizia pesa?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Wewe ulitembea dunia hadi ukagundua Zurich ipo France! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ni dunia gani hiyo ulitembea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…