Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ni kweli Google wanatumia vigezo vingi kutoa mgao wa mapato ya matangazo ila huyu Diamond anawapenzi wengi tuu nje ya Afrika, na ameshirikiana na wasanii wengi wakubwa kama Rick Ross hivyo ad revenue yake kubwa kidogo.
Mkuu, zaidi ya 90% ya viewers wa wanamziki wa Afrika ni kutoka Afrika.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Diaspora investment alone is $50M that's almost 10 times Diamonds total wealth
 
Hivi ninyi mnamjua Diamond au mnamsikia, mtu ambaye anawekeza miradi pamoja na Holly wood super stars, ninyi mnataka beach za Diani, mashamba ya miti na shule, are you really serious?.

Mwanamziki pekee ambaye anaweza kumzidi Diamond katika uwekezaji ukanda huu ni Fally Ipupa na Kabda Kofii Olomide kwasababu ameanza zamani.

Wasafi TV na Redio stations pekee, zinatosha kumfanya kuwa mwanamziki tajiri kuwazidi wanamziki wa Kenya wote kwa pamoja.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna investments Diamond Ako nazo tofauti na Wasafi which is not giving him significant money. Ingekuwa Kuna other investments mngeshaziweka huku, anytime argument ya money ikitokea kati ya Diamond na Akothee vitu huwa mnaonyesha ni TU subscriptions, views, nyumba, wasafi na magari. Nothing outside those five😂😂😂. Zingine zingekuwa mngeshaweka huku mbio mbio
 
Diaspora investment alone is $50M that's almost 10 times Diamonds total wealthView attachment 2554325
I bet, Akothee hafikishi hata $2M katika utajiri wake wote. Anapata wapi pesa?, Jana investment yoyote ya maana, wala hana Endorsement yoyote kutoka kwa makampuni makubwa.

Diamond ana Endorsement za karibia makampuni yote makubwa, kuanzia Pepsi, Airtel, Bank na mengine ndani na nje ya nchi. Huyo Akothe nje ya Kenya nani anamjua?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Umebaki na maneno baadala ya kuweka picha🤣🤣😂🤣. Hizo $2M kwanza ni less than nyumba zake za Kenya pekee. Migori house $800,000, Nairobi house $800,000 and Mombasa house $1.2M. Bado sijaongelea za France na Zurich🤣🤣😂🤣. Sijaongelea real estate business yake pia.
 
Diaspora investment alone is $50M that's almost 10 times Diamonds total wealthView attachment 2554325
Hii article 90% ni uongo, Akothe hana nyumba nje ya Kenya. Diamond Yuko na Nyumba South Afrika tu na Zari ndiye aliyesababisha hiyo Nyumba inunuliwe.

Akothe hana nyumba popote zaidi ya hapo Kenya, weka ushahidi Kama Akothe anayo Nyumba France. Ninyi mumezidi kwa uongo.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Amini unachotaka😂😂😂🤣🤣. Siku Diamond atafika level ya Akothee uniambie 🤣🤣😂
 
Ninarudia Tena, hakuna musician yeyote katika ukanda huu mwenye Nyumba inayozidi japo $500,000. The richest musician in East Afrika, Diamond Platnumz, Nyumba yake South Afrika alinunua kwa $200,000.

Hapa Tanzania alinunua Hotel, hiyo ni investment, sio residential house, kwa Tshs 1.5B, sawa na $700,000. Lakini Nyumba zake zote alizonazo, hakuna inayozidi $500,000. Wacheni ujinga nyinyi, kupenda sifa.

Akothe hana pesa yoyote ya maana, hana miradi yoyote inayoonekana yenye kumuingizia pesa Kama miradi ya Diamond inavyoonekana, taja pesa anatoa wapi?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Piga nduru😂😂🤣😂

 
tanzanian artists think kujipaka salad kwa kifua na magari nne ndio mwisho wa dunia
 
Amini unachotaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]. Siku Diamond atafika level ya Akothee uniambie [emoji1787][emoji1787][emoji23]
Punguzeni ujinga, mtu hana mradi wowote wa maana zaidi ya kulala na wazungu, mnataka kumlinganisha na na mwanamziki mkubwa Afrika na mfanyabiashara mkubwa Kama Diamond Platnumz, wacheni ujinga ninyi.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…