Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

In East Africa ni Akothee, Diamond still have a long way to go.
 
Lakini Prof Jay hakuomba michango, watu ndio walianza kuchanga wenyewe kwa hiari familia ikasema haiwezi kuzuia baadae Serikali ndio ikaamua kuchukua jukumu la matibabu yake, hakuna mahala familia ilisema inaomba msaada wa matibabu.
 
Kuhusu Prof.J, huyo ndio kichekesho kabisa, juzi hapa mke na ndugu zake walijitokeza kwenye vyombo vya habari kuomba mchango Ili kulipia gharama za matibabu, vipi mtu mwenye mamilioni ya dollar aombe msaada wa matibabu?.
Hii ya Prof J hata mimi imenishangaza. Mtu juzi aliumwa ndugu wakawa wanaomba msaada halafu ana $6m ? Huu utajiri wa wasanii wetu tuuache tu,sanaa nyingi.
 
Hii ya Prof J hata mimi imenishangaza. Mtu juzi aliumwa ndugu wakawa wanaomba msaada halafu ana $6m ? Huu utajiri wa wasanii wetu tuuache tu,sanaa nyingi.
Hizo ni details za kubuni kaka 🀣🀣 wanaandika wanachokifkiria.. ndio zao hao jamaa wa kikunya
 
Bado umeshindwa kuleta utajiri wa Diamond πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£. Kwanza nyumba yenye Akothee anaishi in their village is more expensive than Nyumba ya Diamond πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
Nimecheka hadi basi, 🀣🀣🀣 thamani ya nyumba ya akothee ni bei ya Cadillac Escalade ESV moja anayomiliki Diamond
 
Akothee's house so far πŸ‘‡ Jua kali type kama kawaida yenu hapo chini ameweka moram 🀣🀣... Gari zenye ana miliki hakuna gari ya maana hata moja .. Teargas. In the other hand Diamond Platnumz houses. In Pretoria SA πŸ‘‡πŸ‘‡ . Mind you hii ni miaka sita iliyopita.. Mbezi Dar es salaam πŸ‘‡ . Ukiendelea kuweka na mimi naendelea, nakuruhusu uchukue mali za A list artists wote kenya combine Halaf njoo kwenye hii battle
 
Unatumia hasira kujibu vitu simple simple πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚. Nyumba ya Akothee ni $800,000, ya Diamond sidhani hata kama imefika $700,000πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚.

Akothee village house.






 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…