Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,395
- 5,804
A normal Kenyan is still richer than a DanganyikanMtaendelea kudanganywa na wanasiasa mpaka mbakie mifupa tupu. Mngekuwa na forex reserves hizo mngekuwa na shida ya forex kuagiza mafuta au mngefanya rationing ya dollar?
Hahahaha, mkuu sina dharau ila nina ' scientific syndrome". Sisi wanasayansi huwa hatupendi Sana kuzungumza vitu vya hisia, hivi ndivyo nilivyotumia kufikia hiyo $7M.Wacha dharau mzee learn the digital music industry kwanza! Diamond worths more than that amount!
Actually Akothee is more into business than music. Ni lini mwisho uliona ametoa ngoma? Alafu Hawa wajinga wanajaribu kumlinganisha na watu wenye wasipoimba watalala njaa😂😂😂Our iron lady madam boss unbwogable giving clueless tanzanians sleepless nights....Akothee has grit even though not the best of singers
Still higher than Tanzanian forex reserves🤣🤣😂🤣Tuondolee hapa vipicha na data za kupika.
Your forex reserves [emoji116]
Kenya’s forex reserves shrink to Sh852bn amid dollar crisis
NAIROBI, Kenya, March 13 – Kenya’s forex reserves hit an all-time low last Friday amid a raging dollar crisis in the market which has seen the shilling hit a low…www.capitalfm.co.ke
Mushadanganywa tayari 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hii ndio sababu inawafanya munakufa njaa 🤣A normal Kenyan is still richer than a Danganyikan
🤣🤣🤣🤣🤣 one of the leading wapi hata kwenye world travel award sijawah kuiona hata kujulikana kwanza ndio nasikia leoAkothee is a smart woman, music kidogo na business zaidi. Wengine bado wanangoja views na subscriptions 😂🤣😂
This is Akothee Safaris, one of the leading tour company in East Africa.
View attachment 2553545
View attachment 2553546
Anamiliki gari ngapi mbili au??🤣🤣🤣🤣 hio kenya yenyewe hajukani itakuwa east africa 👇👇👇👇👇👇👇Akothee is a smart woman, music kidogo na business zaidi. Wengine bado wanangoja views na subscriptions 😂🤣😂
This is Akothee Safaris, one of the leading tour company in East Africa.
View attachment 2553545
View attachment 2553546
🤣🤣🤣🤣🤣 gari 5 tayar kashakua leading tour company in east africa 🙌🙌🙌🙌Akothee is a smart woman, music kidogo na business zaidi. Wengine bado wanangoja views na subscriptions 😂🤣😂
This is Akothee Safaris, one of the leading tour company in East Africa.
View attachment 2553545
View attachment 2553546
Have you ever seen a rich person dying of hunger. You guys are clowns.A normal Kenyan is still richer than a Danganyikan
Ziko wapi tunaomba tuzione 🤣🤣🤣🤣 ndio yake yale gari 5 kashakua leading company in east africa hehehe nyinyi sifa ndizo zinawafanya munakufa na njaa ovyoKuna wajinga wanadhani pesa hupatikana kwa views pekee😂😂😂.
Wakati Akothee is earning more from business, wengine wangajo kutoa ngoma ndio wapate pesa😂😂
View attachment 2553536
Utajiri wenyewe ndio huu munaiba mpaka chakula cha msaada 🤣🤣🤣🤣A normal Kenyan is still richer than a Danganyikan
Naongelea East Africa wewe unaongelea world. Akili yako inakusaidia kweli?😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣 one of the leading wapi hata kwenye world travel award sijawah kuiona hata kujulikana kwanza ndio nasikia leo
Hivi BRT yenu imekuwaje mbona kimya wakati ilibaki asilimia kama 10 [emoji849]You can trust a Tanzanian to hate on anything good being said about Kenya anywhere.
View attachment 2553558View attachment 2553559
Siku Diamond atafika level ya Akothee kuja tuongee😂😂🤣😂Ziko wapi tunaomba tuzione 🤣🤣🤣🤣 ndio yake yale gari 5 kashakua leading company in east africa hehehe nyinyi sifa ndizo zinawafanya munakufa na njaa ovyo
Nimecheka sana leo diamomd anamilikiSiku Diamond atafika level ya Akothee kuja tuongee😂😂🤣😂
Kwaiyo gari Tano ndo inakuwa leading company in EACNaongelea East Africa wewe unaongelea world. Akili yako inakusaidia kweli?[emoji23][emoji23][emoji23]
Yakununulia mahindi vitunguu na mchele lolForex ya Kenya ni more than ya Tanzania and Uganda combined [emoji23]