Kwenye maneno 100 ya mkenya yoyote duniani chukua moja uondoke na usigeuke nyuma na hilo moja ukalitafakari upya ukiwa nyumbani🤣🤣Mtu ana wealth ya $10 halafu ana jumba Moja la $50 vichekesho haviwezi Isha Kenya
Sent using Jamii Forums mobile app
Vp kuhusu zile hela mlizopata hasara kuhusu huo mradi over 31b ksh zilienda wapi??🤣🤣
Punguzeni ujinga, hakuna msanii yeyote hapa East Afrika ambayo ameshagusa $8MWewe ndio unajichanganya[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23], her cumulative wealth in Kenya ni $10M, her wealth in Switzerland ni $50M. Ni nini huelewi hapo?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]
View attachment 2553474
Naongeza list iendelee😆😆👇👇 akothee ana 401k tukumbuke plzAkothee youtube 401k 🤣🤣🤣
View attachment 2553128
Diamond youtube 7.55m View attachment 2553129
Alikiba 1.55m
View attachment 2553130
Zuchu 2.54m
View attachment 2553131
Harmonize 3.79m
View attachment 2553132
Marioo 1.01m
View attachment 2553133
Mbosso 2.34m
View attachment 2553134
Rayvanny 4.34mView attachment 2553135
Mkuu, japo hii list inamuweka Diamond na kiasi hicho Cha pesa, huo sio ukweli, hizi ni habari za kuhisi tu.Kuna hii hapa ya 2023, achana na hiyo mliyotengeneza chumbani kwenu, ninekuwekea link kabisa hamtuwezi kwa chochote [emoji116][emoji116]
View attachment 2553378Richest Musician in East Africa 2023 Forbes Top 10 List - ECOCNN
List of Forbes top 10 richest artists/musician in East Africa from 2021 to 2022 and their net worth. Richest artists in East Africa in 2022.ecocnn.com
Wacha dharau mzee learn the digital music industry kwanza! Diamond worths more than that amount!Mkuu, japo hii list inamuweka Diamond na kiasi hicho Cha pesa, huo sio ukweli, hizi ni habari za kuhisi tu.
Mwanamziki tajiri kuzidi wote hapa EA ni Diamond, lakini hafikii hiyo pesa hapo, Kama amezidi Sana atakuwa anakaribi $7M, lakini hata hiyo Nina wasiwasi naye.
Bobi Wine hawezi kufika hata $3M, kwa mziki upi?, Labda Kama amepata kwenye siasa, zaidi ya miaka 6 hivi Sasa hafanyi muziki Yuko Bungeni.
Kuhusu Prof.J, huyo ndio kichekesho kabisa, juzi hapa mke na ndugu zake walijitokeza kwenye vyombo vya habari kuomba mchango Ili kulipia gharama za matibabu, vipi mtu mwenye mamilioni ya dollar aombe msaada wa matibabu?.
Kenya hakuna mwanamziki hata mmoja ambaye alishawahi kuvuka $1M mark, kwa muziki upi, kwa shows zipi, kwa mauzo yapi?
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kenyan forex reserves ziko 6.0bn dollars enough for 3.9 months of imports according to Kenyan government
Daylight robbery[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Forex ya Kenya ni more than ya Tanzania and Uganda combined 😂
wanaamini CCM kuliko official dataForex ya Kenya ni more than ya Tanzania and Uganda combined 😂
Our iron lady madam boss unbwogable giving clueless tanzanians sleepless nights....Akothee has grit even though not the best of singersKuna wajinga wanadhani pesa hupatikana kwa views pekee[emoji23][emoji23][emoji23].
Wakati Akothee is earning more from business, wengine wangajo kutoa ngoma ndio wapate pesa[emoji23][emoji23]
View attachment 2553536
Tuondolee hapa vipicha na data za kupika.Forex ya Kenya ni more than ya Tanzania and Uganda combined [emoji23]
Mtaendelea kudanganywa na wanasiasa mpaka mbakie mifupa tupu. Mngekuwa na forex reserves hizo mngekuwa na shida ya forex kuagiza mafuta au mngefanya rationing ya dollar?