Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watu wanaandamana kupigania haki zao, kuuana wameuana kwa akili zako.
Haki ipi zaidi ya Ile waliyoshindwa mahakamani?, Kwahiyo hamjui maana ya utawala wa Sheria?, Ukishindwa mahakamani maana yake wewe huna haki kwa mujibu wa Sheria za nchi, Sasa Raila na kundi lake wanataka haki gani Kama sio kutaka kuleta fujo na kutaka kumuondoa rais wa nchi kinyume na katiba ya nchi?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Tanzania is the poorest nation in the region. Yani wanajengewa vyooπŸ˜‚πŸ˜‚

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…