Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kichapo kimewachanganya, oohh according to Wikipedia tuna shule 10000 alafu nyie mna 5000, haya tuonesheni hizo shule hawana, inatumwa shule moja alafu kila mkenya anaipost, wanakesha ku edit article kule Wikipedia ili waonekane wako juu ya Tz but tukienda ground shuzi linawatoka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Watu wanauana kwa kuandamana, ambapo ni haki yao kikatiba?? Mmelelewa kwenye nchi ya kijamaa na kibepari hadi vitu basics kwenye demokrasia zinakaa vita kwenu
Demokrasia ya kutembea na majeneza?
Demokrasia ya kutembea na visu?
Demokrasia ya kuuana? Bora tubaki hv hv na nchi yetu iliyobarikiwa kila kitu.
 
Wakenya wamepost quality schools nyinyi mmeweka mashule funny funny. Battle ni nchi gani ina shule nzuri si quantity ya shule, ambayo kenya ina shule maradufu ya Tanzania. Tunataka kuona shule nzuri nzuri si shule tu
 
Watu wanauana kwa kuandamana, ambapo ni haki yao kikatiba?? Mmelelewa kwenye nchi ya kijamaa na kibepari hadi vitu basics kwenye demokrasia zinakaa vita kwenu
Kwahiyo huko kwenu kuuana ni haki ya kikatiba?, Kwahiyo katiba yenu inaruhusu kuuana lakini haina uwezo wa kuwasaidia kupata chakula na kuondokana na ugumu wa maisha, hovyo sana ninyi.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
This explains why kina jichoboi and the rest behave the way they do… you can imagine how a common school kina jichoboi attended looks like and figure out why wako vile wako sai 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…