Hii ndio international school ennh Mungu weee🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌🙌Imani International School.
View attachment 2552419
View attachment 2552421
View attachment 2552425
View attachment 2552429
Wao wenyewe hawaamini media zao wanajua tayar washapika data kuwadanganya 🤣🤣🤣🤣
Eti wanedanganywa na ruto wana reserve kubwa 🤣🤣🤣 ndio maana unaona hata hawashangilii wametulia kimya
Wao kudanganywa na kuibiwa ni jambo la kawaida kwao mbona 🤣🤣🤣🤣🤣Huo ni outright wizi.
Vp kuhusu ya lamu inapokea nn?? Au inapokea samaki ya wavuvi 🤣🤣🤣
Mitumbwi ya donkeys 😁😁Vp kuhusu ya lamu inapokea nn?? Au inapokea samaki ya wavuvi 🤣🤣🤣
Apartment za Zimmerman hizi🤣🤣NORTHERN HIGHLANDS SECONDARY SCHOOL
And that's where relative poverty comes in. Nchi nyingi, especially developed countries, use higher figures to determine poverty levels and in most cases, it's $5 and above
Umepigwa na kitu kizito. Hakika wakenya wanahaha 🤣 🤣 🤣Apartment za Zimmerman hizi🤣🤣
Swala hapa sio kuwa na reserve kushinda Tanzania na Uganda,point ni kwamba import bill Yao ikoje? Hizo pesa zinakidhi hayo?
Bolivia nako Wana struggle kupata dola kama Kunyaland kwani si Wana reserves kubwa kushinda Kunyaland?
Hakuna kujifariji hapa
NORTHERN HIGHLANDS SECONDARY SCHOOL