President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,608
- 94,196
Robo fainali ndio kuchukua kikombe?ππSasa tunaenda robo fainali kaa mkao wakula team zote zinaingia robo fainali na ukumbuke kila stage hapo ni pesa tu zinaingia π€£π€£π€£π€£π€£
Kwanza tafuteni pesa muwalipe wachezaji na pia muwanunulie bus zuri sio lile mkebe limejaa gogo, ukurutu na kunguni π€£π€£Sasa group stage pia ni kitu ya kupigia kelele? Siku hizo timu zenu zitakutana na Gor Mahia tena ndio mtajua they are just pretenders.
Kwanza tafuteni pesa muwalipe wachezaji na pia muwanunulie bus zuri sio lile mkebe limejaa gogo, ukurutu na kunguni π€£π€£
Kwan ww hujafurahi team zetu kuingia robo fainali na je utapenda kuskia zimeingia nusu final ??? Naomba unijibu bila hasira πππRobo fainali ndio kuchukua kikombe?ππ
Endelea kuota. Dunia itaisha bila hizo timu kuingia nusu fainaliππKwan ww hujafurahi team zetu kuingia robo fainali na je utapenda kuskia zimeingia nusu final ??? Naomba unijibu bila hasira πππ
Sasa unatuletea mada gani hzi ??? Sisi tuko 2023 tunasonga mbele nyinyi muko 2019 bado munaota auπππππ
π€£π€£π€£π€£π€£ maendeleo ya tanzania kweli yanawanyima usingizi nimeaminiEndelea kuota. Dunia itaisha bila hizo timu kuingia nusu fainaliππ
Najaribu kukuambia Gor ndio baba wa timu zote Tanzania ππSasa unatuletea mada gani hzi ??? Sisi tuko 2023 tunasonga mbele nyinyi muko 2019 bado munaota auπππππ
Iko wapi maendeleo hapo?πππ€£π€£π€£π€£π€£ maendeleo ya tanzania kweli yanawanyima usingizi nimeamini
Gor mahi ni team haina mafanikio haina mbele wala nyuma πππ haina hata ofisi wala choo cha ofisi, gari lemyewe wamepewa na tuzo sio gari sio wazimuNajaribu kukuambia Gor ndio baba wa timu zote Tanzania ππ
Always comparing best Nairobi pics vs worst Dar es salaam pics [emoji38][emoji38]Mbona rahisi sana?View attachment 2550708View attachment 2550707
View attachment 2550709View attachment 2550710View attachment 2550711View attachment 2550712View attachment 2550713View attachment 2550714View attachment 2550715View attachment 2550717View attachment 2550718View attachment 2550719View attachment 2550720View attachment 2550721
Sasa linganisha na hizi jehanamu zenu kisha uniambie ni sehemu ipi ina mpangilio [emoji23][emoji23]View attachment 2550722View attachment 2550723View attachment 2550724View attachment 2550725View attachment 2550726View attachment 2550728
mikinya nikiwaona nawacheka kwa dharau sanaKDF failed in
1)South Sudan peace keeping mission, walifurushwa na Ban kin Mon
2)Eastern DRC. wananchi na rais wa DRC wanataka KDF waondolewe kwasababu hawana uwezo
3)Samburu na Turkana, wananchi wa maeneo hayo wanataka waruhusiwe kujilinda wenyewe baada ya KDF kushindwa kuwalinda.
4)Somalia; KDF imeshindwa kuzuia Alshabaab kuishambilia Kenya
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hii shule nimeikumbuka hasa huo ukumbi.Shaaban Robert Secondary School
Timu yenye haina mafanikio ndio inacharaza timu zote za Tanganyika na Zanzibar combined πππGor mahi ni team haina mafanikio haina mbele wala nyuma πππ haina hata ofisi wala choo cha ofisi, gari lemyewe wamepewa na tuzo sio gari sio wazimu
Tunaona maendeleo kwanza kuona kampuni kubwa ya ulaya haier ina saini na yanga 1.5b tsh udhamini kwa mechi 6 tu just imagineIko wapi maendeleo hapo?ππ
Jibu swali nimekuuliza. Unaamini kwamba Egypt na South Africa wako na masikini wengi kuzidi Tanzania?Misri ina population of over 100m unategemea wote watakua matajiri au??π€£
Matokeo ya Gormahia vs Yanga hivi karibuni, mechi ilichezwa tareh 29/7/2018 .. miaka mitano iliyopita .. ni history tu .. sahii Gormahia imeshajifia zake . Yanga still inapeleka moto uko kombe la shirikisho,That was their recent encounter in 2019.
Inacharaza na haiendi kokote π€£π€£ inabakia haina pesa ya wachezaji wala choo hainaTimu yenye haina mafanikio ndio inacharaza timu zote za Tanganyika na Zanzibar combined πππ
Kama data zinasema hvo kwann nisiamini au misri iko europe ???π€£π€£π€£π€£Jibu swali nimekuuliza. Unaamini kwamba Egypt na South Africa wako na masikini wengi kuzidi Tanzania?