Yaani sijui kwa nini Za Mo wale wakulungwa hawazichukui, zipo kila Kona mtaani, Kuna Jamaa wa World Bank alikua ananiuliza nini cha kufanya maana aliona interview ya Mo CNN anavyosema anavyolinda mazingira na recycling lakini chupa za Mo extra zimezagaa kwenye mitaro na mtaani, Huwezi kuta Chupa zingine zimezagaa kama zake.Ya K vant hujaona? [emoji23][emoji23][emoji23]
Umepigwa Ban kimasihara mkuu πShinikizo kutoka kwa gunners ππππUbishani tuu wa mpira, sijawahi kupigwa ban ndio mara ya kwanza, nilidhani masihara kumbe mods hawana mchezo aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani sijui kwa nini Za Mo wale wakulungwa hawazichukui, zipo kila Kona mtaani, Kuna Jamaa wa World Bank alikua ananiuliza nini cha kufanya maana aliona interview ya Mo CNN anavyosema anavyolinda mazingira na recycling lakini chupa za Mo extra zimezagaa kwenye mitaro na mtaani, Huwezi kuta Chupa zingine zimezagaa kama zake.
Inaonesha nilimuudhi sanaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sema Mod nae atakuwa ni the gunners![emoji23].Sio Bure.[emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umepigwa Ban kimasihara mkuu [emoji23]Shinikizo kutoka kwa gunners [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Alitakiwa anunue back yeye mwenyewe ili zipotee kama taka. Wenzake wote wananunua. Zake zinaachwa kama taka kwa kuwa hazina maslahi. Ni kosa lake, anatakiwa azipokee na zinakua deal hazitazagaa mtaani .Wanasema zile hazinunuliwi kwa sababu ya ile rangi.
Jiji lenu ni uswazi mwanzo mwisho. Kuna tofauti gani kati ya hapo Msimbazi na Gongo la mboto, Vingunguti, Gongo la mboto, Keko, Tabata, Mazense, Tandale, Buguruni na maeneo mengine ambazo zote ni uswazi?Maskini ya Mungu ile sehemu ambayo Nicxie anajidai nayo kwa kuweka picha humu inavunjwa yotee, sasa sijui atapost nn kujiliwaza [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2547509
Serikali inapaswa kukaa na makampuni na kuanzisha Plastic bottles refund system! Kila chupa ikiwa na refund ya say Tshs 50 nakuhakikishia hutaona chupa mtaani! Huwezi ona chupa za Coca-Cola au Pepsico au TBL au Serengeti Brew mtaani kwavile kuna utaratibu wa reusage! Utaratibu wa reusage via plastic recycling utasaidia pia!Yaani sijui kwa nini Za Mo wale wakulungwa hawazichukui, zipo kila Kona mtaani, Kuna Jamaa wa World Bank alikua ananiuliza nini cha kufanya maana aliona interview ya Mo CNN anavyosema anavyolinda mazingira na recycling lakini chupa za Mo extra zimezagaa kwenye mitaro na mtaani, Huwezi kuta Chupa zingine zimezagaa kama zake.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nipo sana bro, na vile battle tushashinda yn kuna vipengele natamani virudishwe nyuma niue [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tuliza kende wewe bongolalaHakuna sehemu Kenya kuna Gated community ya kisasa kama hii, yn kitu kimejengwa ua linaonekana, Dom kama Dom [emoji91][emoji91][emoji117][emoji1139][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]View attachment 2547511
Hiyo ndio inaitwanga Kumi mtungi. Hawezi rudi hapa tena. π€£ π€£
Safari za mabasi? ππππJamaa tukiwaambia kwamba Tz watu wanasafari kinoma hawataki kuamini.. imagine licha ya kampuni nyingi za Mabasi zilizopo Tanga zinazofanya safari zake Tanga-Dar pekee lakini leo wakati nipo kwenye Kampuni ya Mabasi ratco tayari kwa ku book ticket yangu kurejea mjini,muuni nikakutana na hii ratiba ya safari za TA-DSM dailyView attachment 2547546hii ni ratiba ya ratco pekee..
Huyo bongolala hajui kwamba Nairobi and Kenya in general ndio baba lao ukanda huu when it comes to gated communities. Amekosa gated community ya maana kupost Dar akaona moja Dodoma akadhani amefika! ππHiyo ndio inaitwanga Kumi mtungi. Hawezi rudi hapa tena. π€£ π€£
Kwa haya mambo tunayofanya natumai Wakenya washaanza kuamini kwamba uchumi halisi wa Tz ni $150bn.
They'll use all manner of adjectives to demean GDP but deep inside, wanatamani sana uchumi kubwa ππππMpaka ikifika 2025 tutakuwa tushagonga $200bn.