Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

SSH anasema kuna vinchi vinaomba tuwawekee dhamana ili wapate fedha za kigeni waagize mafuta. [emoji23][emoji23][emoji23]

Tuna fedha za kigeni za kutumia miezi minne mbele, kuna vinchi hata za kutumia wiki hawana.
CC: NairobiWalker

Tena ameviita " vi- nchi". Hope anamaanisha Burundi na Malawi


Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Wewe jamaa ni tahira.. in case you don't know, Miji yote ya kisasa imejengwa kuwa na green fields kwenye CBDs zake .. kama kwako CBD tafsiri yake ni majengo tu excluding the surrounding environment pole sana we jamaa lishamba .. modern CBDs on earth πŸ‘‡
 
Kwani mzee wetu kwa tafsiri yako wewe Dar CBD ni ipi mkuu.?
 
Ilala are u happy now 🀣🀣🀣
View attachment 2540994
Unafikiri sisi wajinga? Hiyo picha kuna jengo limeandikwa butterfly hotel on the bottom left corner. Butterfly hotel linapatikana Kariakoo na dhibitisho ndio hii hapa

So ki ufupi ni kwamba hiyo picha unasema ni Ilala while in real sense it's part of Kariakoo.

Ilala ni uswazi na usiwahitaja kwenye sentensi moja na Kilimani wala Eastleigh.


Narudia tena kwamba ukitoa cbd, Dar nzima hakuna eneo linakaribia Upperhill, Westlands, Kilimani na hata Eastleigh na maeneo mengine kwa ujenzi
 
Usiwe pumbavu bana, hata Nairobi ikona Golf Course next to CBD but it's not part of the CBD, a Central Business District ni eneo la kufanyia biashara. Dar is a slum ina CBD ndogo sana lazima mushikanishe hio golf course kama part of CBD just to justify a useless point.

 
Hilo eneo haifikii hata Ngara kwa majengo lakini ukisikia vile inapewa sifa!πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Facts, plus ngara ni kubwa kuliko hako ka area ka ghorofa kufwata barabara kama shopping center za vijiji. 🀣 🀣 🀣
 
Yani ww kazi yako ni kuokota picha google tu ilinradi ufute machozi au 🀣🀣🀣🀣🀣

Hebi nioneshe hio butterfly hotel kwenye hio picha ukipata nitag πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Is the nikka trying to justify that Dar has green spaces? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Hizo green spaces ziko wapi hatuoni?

Hakuna mji inafikia Nairobi ukanda huu when it comes to green spaces and leafy neighborhoods ndio maana they conned the word naipory kuwasaidia kujiliwaza na kukubali jiji lao halina green spaces
 
Siku hzi parkland iko westland sinilikwambia mm ukitoa CBD wetsland na upperhill nairobi imekwisha unakaa kulia ovyo hapa 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Sinikikwambia unakasirika hii picha umepost ww unatuonesha ngara wakat CBD yote ndani upperhill ndani 🀣🀣🀣🀣

 
Niliwashow on google maps Nairobi CBD is huge, lazima washikanishe their small cbd + kariakoo which is more of a residential area to match it. Fala anatuonyesha eti CBD yao ni kubwa yet 50% is a golf course and a botanical garden. While Nairobi doesn't include any parks or golf courses.
 
Yani ww kazi yako ni kuokota picha google tu ilinradi ufute machozi au 🀣🀣🀣🀣🀣

Hebi nioneshe hio butterfly hotel kwenye hio picha ukipata nitag πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Najua kiingereza hukielewi but I understand you are a bongolala. I said bottom right corner and here it is

Bado huoni jengo limeandikwa butterfly hotel hapo? Na je, lipo Kariakoo au la? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hii Dar yenu linganisheni na Kampala coz haina cha kulinganisha na Nairobi nje ya hiyo cbd yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…