Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii wanapita wima ni kama hawajaiona. if you listen carefully, you'll realize the tone of that politician. So full of hatred towards Kenya
Kuna yule wenu alisema kabisa tuwafukuze Watanzania Nairobi, alafu bado unataka kutufundisha nani anamchukia nani?
 
Umesema ukweli mkuu, hawa jamaa huwa wanakurupuka tu, ndio sababu miradi mingi inaishia njiani na Ile inayokamilika inabaki kuwa "white elephants"

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Eti Wana jamvi .. nini maoni yenu kuhusu hatua hii iliyofikiwa na serikali.? 👇.
 
Hii sheria ya Raisi wa nchi akistaafu kujengewa nyumba ya makazi, kama alivyofanya JPM kwa kikwete na Mwinyi .. Je mjane wa JPM na yeye ataambulia chochote.? Wajuaji wa mambo mnijuze mdogo enu.. nyumba alizojenga JPM kwa watangulizi wake so far 👇 Nyumba ya MwinyiNyumba ya kikwete 👇 .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…