ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,348
- 89,768
Hili ni shamba la nanai? 😂😂Tz ni shamba la Kenya la kulima na kuvuna
KCB to open 12 new outlets in Kenya and Tanzania
KCB Group is set to open 12 new branches in Kenya and Tanzania this year.www.businessdailyafrica.com
Unataka awekeze mara ngapi wakati 2017 alishawekeza 150bn tshMjumbe hauwawi, Rostam alikuwa hana namna zaidi ya kuwekeza Kunyaland maana Tanzania ingekuwa na soko kubwa asingeenda huko.94% ? [emoji849][emoji849]
Peanat inaendana na matumizi ya Tanzania ya 5% ambayo ndio ilikuwa hoja yangu kuu nyie mkipinga Kwa blaa blaa bila facts.Unataka awekeze mara ngapi wakati 2017 alishawekeza 150bn tsh
Achana nae huyo hana akili.Mkuu, kwahiyo Volkswagen kuwekeza Rwanda ni kwasababu Ujerumani hakuna soko kubwa?.
Makampuni ya Kenya zaidi ya 500 kuja kuwekeza Tanzania, maana yake Kenya hakuna soko?
Hehehee. Tukiwaambia tunakuwa wabaya.Mjumbe hauwawi, Rostam alikuwa hana namna zaidi ya kuwekeza Kunyaland maana Tanzania ingekuwa na soko kubwa asingeenda huko.94% ? 🙄🙄
Ukiona mtu anaikimbiza ukweli ujue hana akili kaa mbali anaweza Kulamba risasi 🤪🤪Hehehee. Tukiwaambia tunakuwa wabaya.
Kaenda kuinjoi vyoo vya arushaMama kaenda Arusha, kuna ishu gan?
They didn't run away, they simply expanded into Tanzania and invested very little money there because of your limited purchasing power. Mention any Kenyan company that wound up its business in Kenya and came to invest in TanzaniaWhat about those your 524 companies which ran away from shithole countries and came to Tanzania, don't they know which country has more money between Kenya and Tanzania?[emoji1][emoji1][emoji1]
Soma hii taarifa uwache kutoa povu. Matumizi yenu is at 7.2%Link iko wapi kaka.? Au umeokota tu ili opoze machungu.? 🤣🤣 Tz kutokana na mahitaji ya Gesi kampuni zaidi ya nane zimewekeza kwenye sector hiyo..
Na bado juzi kaweka mzigo mkubwa Tigo na Zantel kama usd 320mUnataka awekeze mara ngapi wakati 2017 alishawekeza 150bn tsh
Huwa mimi sijubu post za watu ambao hawajitambui. Hawa ni bendera fuata upepo tuuMkuu, kwahiyo Volkswagen kuwekeza Rwanda ni kwasababu Ujerumani hakuna soko kubwa?.
Makampuni ya Kenya zaidi ya 500 kuja kuwekeza Tanzania, maana yake Kenya hakuna soko?
Hasira ni kutokubaliana na ukweliHasira peleka “bedroom kwa baba”
Tanzania kuna washindani wakubwa wengi he had to start somewhere.Peanat inaendana na matumizi ya Tanzania ya 5% ambayo ndio ilikuwa hoja yangu kuu nyie mkipinga Kwa blaa blaa bila facts.
Failed state inawazidi kwa utumizi wa gesi nyumbani. You should even be ashamed of yourselves!Hata unyambe namma gani, ninyi ni failed state.
Yaani kaka,ngozi nyeusi ni tatizo sana popote duniani bila kujali ipo marekani,china,au Africa,ww anagalia hata viongizi wa Africa!Raper Rick Ross alinunua Nyumba kwa Tsh. 13B, ameikarabati kwa Tsh 11B, huu ni ufisadi mkubwa Sana[emoji23][emoji23]
https://www.facebook.com/
Sena unaumia. Eti uswazi?? Nairobi hakuna uswazi bongolalaHizi picha za Nairobi naona mpigaji alikaa angle Kali kujaribu asioneshe Kibera na uswazi zingine 😁😁View attachment 2529265View attachment 2529266View attachment 2529267